Pale ninapokatazwa ndipo ninapopataka......Kigali wait for me......kwani nini bana.......
Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:
Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!
Ila mojawapo ya mahalia ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!
Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....
Babu DC!!
Pale ninapokatazwa ndipo ninapopataka......Kigali wait for me......kwani nini bana.......
Babu Kigali nilishafika, napanga kwenda Addis sasa. Kisha baada ya hapo nitachagua wapi kwa kuweka makazi kabisa baada ya kupitia vigezo nitakavyojiwekea.
Pale ninapokatazwa ndipo ninapopataka......Kigali wait for me......kwani nini bana.......
Hahaaaaaa.....
Pensioners tuna tabu sana...
unajua sijajua kwa nini unapachukia mtu mzima mwenzangu....
sasa naanzaje kukupa tu pole na hali sijui yaliyokukuta?:A S-confused1:
ha haaa, ndo maana huwa nalalamikia sana ukilaza wangu, lakini hamnielewi... snowhite kuja umtafusirie dada mkubwa huku.....Hivi wewe ukoje mkubwa mwenzangu??
Hivi hadi uambiwe kwamba fulani kaanga dunia ndo unajua kuwa mahali fulani kuna msiba? Huwezi kuona kwamba somewhere kuna waombolezaji na kwamba mambo yameharibika??
Nakaribia kukununia mie...lol!!
Babu DC!!
....swahiba, ngoja niende japo mara moja tu nami nije nitoe ushuhuda.
Kigali kuna madhara. Watoto wadogo mkipazoea mkizeeka mtataabika. Shauri yenu.
Bado Somalia, napo si haba!
Mtu mzima hovyoooo,we uliruka stage ww sio bure, nkadhan hata b uzi wa maaana kumbe ----- tuu
Zamani enzi za Mengistu na Jua wakati huo lilikuwa utosini, nilipita na Gozi langu kwa niliyoyaona ilibidi mzigo niuchunge mara 10 zaidi. Panatisha.
Sasa Jua lisha kuchwa hata zigo liende lenyewe, sitaharuki.
Pale ninapokatazwa ndipo ninapopataka......Kigali wait for me......kwani nini bana.......