Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

picha+source mkuu

hizo hapo picha!!

kigali master plan.
Kigali-masterplan-Urban-Planning-design-Exterior-1-588x441.jpg


Kigali-masterplan-Urban-Planning-design-Exterior-2-588x441.jpg


source.. Serengeti love.
 
Last edited by a moderator:
Mtu mzima hovyoooo,we uliruka stage ww sio bure, nkadhan hata b uzi wa maaana kumbe ----- tuu
 
Zamani enzi za Mengistu na Jua wakati huo lilikuwa utosini, nilipita na Gozi langu kwa niliyoyaona ilibidi mzigo niuchunge mara 10 zaidi. Panatisha.

Sasa Jua lisha kuchwa hata zigo liende lenyewe, sitaharuki.
 
hahaha mkuu mwenzangu Dark City uliwahi kwanza kuangalia ile DVD ya kwetu pazuri? then ungeenda kwa tahadhari zaidi.....hao watoto wa kinyarwanda wana balaa si kidogo, na kwa ushuhuda wa FaizaFoxy apo juu na Gozi lake, inaonekana umaarufu wake haujapungua kabisa!

Cha kufanya sasa kama mwanajeshi mstaafu una ji rorganise na kwenda kushambulia tena....hii nadhani ni temporary retreat

Cc RR Asprin Ennie
 
Last edited by a moderator:
Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:

Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!

Ila mojawapo ya mahalia ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!


Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....

Babu DC!!

Babu umetuacha puzzled, umeenda huko Kigali? Uliwahi kupata majanga yoyote ukiwa huko?
 
Pale ninapokatazwa ndipo ninapopataka......Kigali wait for me......kwani nini bana.......


Wewe hata ukienda....ila mhhhhh...

Hata na hao jamaa wa upande wa pili wanatisha sana...utadhani ni breed ya US basket ballers ambo hawapati mlo wa kutosha.....

Sipataki mie na ushauri wangu ni huu...."don't try it"....lol!!

Babu DC!!
 
Babu Kigali nilishafika, napanga kwenda Addis sasa. Kisha baada ya hapo nitachagua wapi kwa kuweka makazi kabisa baada ya kupitia vigezo nitakavyojiwekea.


Kama ni hivyo basi wewe ni mubaya.....

Ni mtu gani anapendelea mateso kama the late Madiba??

Babu DC!!
 
Hahaaaaaa.....
Pensioners tuna tabu sana...

Especially ukianza kurewind mikanda na kulinganisha na movies za leo......

Anyway, haya mambo si mambo, ingawa inabidi tujifunze kuyazoea!!

unajua sijajua kwa nini unapachukia mtu mzima mwenzangu....
sasa naanzaje kukupa tu pole na hali sijui yaliyokukuta?:A S-confused1:

Hivi wewe ukoje mkubwa mwenzangu??

Hivi hadi uambiwe kwamba fulani kaanga dunia ndo unajua kuwa mahali fulani kuna msiba? Huwezi kuona kwamba somewhere kuna waombolezaji na kwamba mambo yameharibika??

Nakaribia kukununia mie...lol!!

Babu DC!!
 
Hivi wewe ukoje mkubwa mwenzangu??

Hivi hadi uambiwe kwamba fulani kaanga dunia ndo unajua kuwa mahali fulani kuna msiba? Huwezi kuona kwamba somewhere kuna waombolezaji na kwamba mambo yameharibika??

Nakaribia kukununia mie...lol!!

Babu DC!!
ha haaa, ndo maana huwa nalalamikia sana ukilaza wangu, lakini hamnielewi... snowhite kuja umtafusirie dada mkubwa huku.....
usininunie mkubwa mwenzangu.......mweeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
....swahiba, ngoja niende japo mara moja tu nami nije nitoe ushuhuda.

Kinatachokutokea usianze kumlaumu babu wa watu wakati keshajistaafia??

Hivi, hata wastaafu wanaweza kupewa ajira tena kweli??

Kigali kuna madhara. Watoto wadogo mkipazoea mkizeeka mtataabika. Shauri yenu.

Wewe umeelewa somo hata unakaibia kumzidi mwalimu wako....

You are a brilliant student...


Bado Somalia, napo si haba!

Huko mambo yalishaharibika bwana....nani anataka kupambana na Alshabab??

Ila nahisi enzi zake palikuwa ni hatari zaidi ya cynide...lol!!

Babu DC!!
 
Mtu mzima hovyoooo,we uliruka stage ww sio bure, nkadhan hata b uzi wa maaana kumbe ----- tuu


Unadhani kwamba wewe utabaki mdogo kama ulivyo??

Ipo siku na wewe utakuwa kwenye pensheni kama sisi ndugu.....

Usitukane mamba kabla hujavuka mto....lol!!


Babu DC!!
 
Zamani enzi za Mengistu na Jua wakati huo lilikuwa utosini, nilipita na Gozi langu kwa niliyoyaona ilibidi mzigo niuchunge mara 10 zaidi. Panatisha.

Sasa Jua lisha kuchwa hata zigo liende lenyewe, sitaharuki.

Kwa mara ya kwanza umenifanya nicheke sana FF..... Nakusihi uachane na siasa uhamie huku tuendelee kujichekea na kuongeza siku za kuishi...not stress at all!!

Bora wewe unaelewa ninachokiongelea.... Ila hata kama jua limekuchwa, hilo zigo lako endelea kubebana nalo ndugu yangu....

Never trust a bull dad....

Babu DC!!
 
Hahaha babuuu! Walitaka kuamsha simba waliolala?
Kuna conference tulifanya in kigali in a hotel, tukawa na jamaa wa zenj wakorofi balaa. Tukawa kila siku tukimaliza kazi wanatuwekea mziki tunatumia ukumbi wa disco. Aisee kuna makahaba wakatustukia. Nilimrescue mkaka wa zenj kwa kumganda manake angebakwa humo humo. Wako too aggressive!
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom