kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,517
- 10,367
Huwezi kuona mtu anakatisha barabara akapita juu ya bustani inayotenganisha barabara!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
baiskeri zipo na nyingine kabisa zinafanya bodaboda hasa hapo stand ya nyabugogojina la kagame halitajwi hadharani hujulikana kama ' The Man himself'
Bodaboda nchi nzima wana number
hakuna baiskeli mjini
turikumwe shaa nilihano iriza cafeChigari yetu...turi kumwe.
Wala sio kwamba wote ni wazuri ila 70% ya wadada wote wa uku ni wazuri ila ata wabaya wapo. Nikama dar ukimuona owoya, joketi, shilole cjui wema unaweza fikili kila mdada tanzania ni mzuri kumbe nchi imejaa sura za naibu spika.
acha uongo wewe ikivuguto haitumiki kama lunch labda kama kusindikiza misosi ina maana hii migahawa ya ukweli kama camilia nk. hauioni mbona washikaji wengi wanasafiri kutoka Congo kuja kula ifiliti gusaHakuna nchi ya kijinga kama Rwanda nchi ambayo ukimsema vibaya Kagame kesho unauawa.nchi ambayo ukionekana unakula Mara 3 wanajua wewe ni mgeni nchi ambayo mchana tunakula kivuguto ndio Lunch Nchi ambayo ndizi tunauziwa kwa kupima ktk kilo kitu cha maana huku Rwanda ni wanawake zao kuwa na maji tu ( Natural water ) tak*o mbili tu atamwaga maji mtakosa pa kulala.
Rwanda ni nchi ambayo Hotel na Guest house zote zina maturubai ili wanaomwagana maji wasiharibu magodoro
Urakozeturikumwe shaa nilihano iriza cafe
Hao ni watutsi tu au wahutuWala sio kwamba wote ni wazuri ila 70% ya wadada wote wa uku ni wazuri ila ata wabaya wapo. Nikama dar ukimuona owoya, joketi, shilole cjui wema unaweza fikili kila mdada tanzania ni mzuri kumbe nchi imejaa sura za naibu spika.
labda wamebadilisha sheria lakini ilikuwa katikati ya jiji no bike. sory kama nimewamisslead. mambo hubadilikabaiskeri zipo na nyingine kabisa zinafanya bodaboda hasa hapo stand ya nyabugogo
Vyakula kaka na usipokuwa na maji kama ni mdada anayedanga hapati Wateja ila ukizoea ni raha sana mm nimekuwa mbovu sana lazima niyatafuteKwa utafiti wako nini inasababisha hiyo Hali kwa wanawake wa Rwanda mpaka kusifiwa sana kwa Hako Katabia?
Nilijua utaongea kitu cha maana huku Rwanda ni njaa mitaa ya wananchi wa kawaida IKIVUGUTO ndio wanafanya Lunch wkt huo asubuhi kapita wima kupiga pasi fupi huku kizuri alichofanya Kagame ni barabara. Kwa hilo namsifu lkn maisha ni magumu sana kwa wananchiacha uongo wewe ikivuguto haitumiki kama lunch labda kama kusindikiza misosi ina maana hii migahawa ya ukweli kama camilia nk. hauioni mbona washikaji wengi wanasafiri kutoka Congo kuja kula ifiliti gusa
Mji wa karatu wameza hakuna duka wala soko lenye kuuza bidhaa na kuweka katika mifuko ya plastic.Mji msafi sana.Ile mifuko inakera sana, sisi tunaangalia zaidi kodi kuliko mazingira.
Kuna umuhimu wa kufanya utalii wa kutembelea rwanda kuona maajabu yake na vivutio vyake 😁😁😁😄😄😄 . Mkuu angalia usikae sana ukasahau nyumbani TzVyakula kaka na usipokuwa na maji kama ni mdada anayedanga hapati Wateja ila ukizoea ni raha sana mm nimekuwa mbovu sana lazima niyatafute
ng'ombe wa kule ni wakisasa kwahiyo hawapelekwi malishoni bali huletewa nyasi kwenye mazizi yaoNilijua utaongea kitu cha maana huku Rwanda ni njaa mitaa ya wananchi wa kawaida IKIVUGUTO ndio wanafanya Lunch wkt huo asubuhi kapita wima kupiga pasi fupi huku kizuri alichofanya Kagame ni barabara. Kwa hilo namsifu lkn maisha ni magumu sana kwa wananchi
Hao ng'ombe wanaosema wamekopeshwa sehemu ya kuchunga ni tabu yani ikifika saa tatu ndio unawafungulia kuwalisha unakesha unachunga ikifika asbh wasionekane
Hujui kitu wewe hizo nyasi zina toka wapi kwa hapa Kigari.Mimi naishi hukung'ombe wa kule ni wakisasa kwahiyo hawapelekwi malishoni bali huletewa nyasi kwenye mazizi yao
Huku nafanya biashara bahati nzuri nilimewasoma vzr familia kipindi cha Likizo wanakuja kunitembelea na Mimi nakuja Mara nyingi huko nyumbani na siku hizi tumerahisishiwa usafiri kuna ma bus ya TRINITYKuna umuhimu wa kufanya utalii wa kutembelea rwanda kuona maajabu yake na vivutio vyake 😁😁😁😄😄😄 . Mkuu angalia usikae sana ukasahau nyumbani Tz
Naam niliiona Trinity ikiendeshwa na mwana mama .Huku nafanya biashara bahati nzuri nilimewasoma vzr familia kipindi cha Likizo wanakuja kunitembelea na Mimi nakuja Mara nyingi huko nyumbani na siku hizi tumerahisishiwa usafiri kuna ma bus ya TRINITY
Nimelipia renewal ya driving licence....miezi mitatu sijaipataBongo mwaka unaisha nahangaika kufungua kampuni. mwaka unaisha NIDA hawajanipa kitambulisho. Bongo watu kwenye ofisi za serikalo na vitambo vyao wanajiona mabosi na miungu watu.
reka ubujuju bwawe ingegeraHujui kitu wewe hizo nyasi zina toka wapi kwa hapa Kigari.Mimi naishi huku