Kigali Ina maajabu gani?

Hakuna nchi ya kijinga kama Rwanda nchi ambayo ukimsema vibaya Kagame kesho unauawa.nchi ambayo ukionekana unakula Mara 3 wanajua wewe ni mgeni nchi ambayo mchana tunakula kivuguto ndio Lunch Nchi ambayo ndizi tunauziwa kwa kupima ktk kilo kitu cha maana huku Rwanda ni wanawake zao kuwa na maji tu ( Natural water ) tak*o mbili tu atamwaga maji mtakosa pa kulala.
Rwanda ni nchi ambayo Hotel na Guest house zote zina maturubai ili wanaomwagana maji wasiharibu magodoro
acha uongo wewe ikivuguto haitumiki kama lunch labda kama kusindikiza misosi ina maana hii migahawa ya ukweli kama camilia nk. hauioni mbona washikaji wengi wanasafiri kutoka Congo kuja kula ifiliti gusa
 
Kwa utafiti wako nini inasababisha hiyo Hali kwa wanawake wa Rwanda mpaka kusifiwa sana kwa Hako Katabia?
Vyakula kaka na usipokuwa na maji kama ni mdada anayedanga hapati Wateja ila ukizoea ni raha sana mm nimekuwa mbovu sana lazima niyatafute
 
acha uongo wewe ikivuguto haitumiki kama lunch labda kama kusindikiza misosi ina maana hii migahawa ya ukweli kama camilia nk. hauioni mbona washikaji wengi wanasafiri kutoka Congo kuja kula ifiliti gusa
Nilijua utaongea kitu cha maana huku Rwanda ni njaa mitaa ya wananchi wa kawaida IKIVUGUTO ndio wanafanya Lunch wkt huo asubuhi kapita wima kupiga pasi fupi huku kizuri alichofanya Kagame ni barabara. Kwa hilo namsifu lkn maisha ni magumu sana kwa wananchi
Hao ng'ombe wanaosema wamekopeshwa sehemu ya kuchunga ni tabu yani ikifika saa tatu ndio unawafungulia kuwalisha unakesha unachunga ikifika asbh wasionekane
 
Vyakula kaka na usipokuwa na maji kama ni mdada anayedanga hapati Wateja ila ukizoea ni raha sana mm nimekuwa mbovu sana lazima niyatafute
Kuna umuhimu wa kufanya utalii wa kutembelea rwanda kuona maajabu yake na vivutio vyake 😁😁😁😄😄😄 . Mkuu angalia usikae sana ukasahau nyumbani Tz
 
Nilijua utaongea kitu cha maana huku Rwanda ni njaa mitaa ya wananchi wa kawaida IKIVUGUTO ndio wanafanya Lunch wkt huo asubuhi kapita wima kupiga pasi fupi huku kizuri alichofanya Kagame ni barabara. Kwa hilo namsifu lkn maisha ni magumu sana kwa wananchi
Hao ng'ombe wanaosema wamekopeshwa sehemu ya kuchunga ni tabu yani ikifika saa tatu ndio unawafungulia kuwalisha unakesha unachunga ikifika asbh wasionekane
ng'ombe wa kule ni wakisasa kwahiyo hawapelekwi malishoni bali huletewa nyasi kwenye mazizi yao
 
Kuna umuhimu wa kufanya utalii wa kutembelea rwanda kuona maajabu yake na vivutio vyake 😁😁😁😄😄😄 . Mkuu angalia usikae sana ukasahau nyumbani Tz
Huku nafanya biashara bahati nzuri nilimewasoma vzr familia kipindi cha Likizo wanakuja kunitembelea na Mimi nakuja Mara nyingi huko nyumbani na siku hizi tumerahisishiwa usafiri kuna ma bus ya TRINITY
 
Naam niliiona Trinity ikiendeshwa na mwana mama .
 
Back
Top Bottom