mwamgogwaferdinand
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 697
- 934
Mimi huwa nawashanga sana Mara ni mji msafi Africa Mara nini Kigali sijui nini kunamiji misafi Kigali haigusi # Windhoek Namibia bara gaborone gabs Botswana hatari.Kabisa kaka ni mji wa hovyo sana km 50 upo border ya Uganda km 200 uko Congo yani siku 1 namaliza Boda zote na gari ndogo ni nchi ya kusadikika ukija huku utajiuliza hiyo nchi ipo wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app