Kigali Ina maajabu gani?

Kabisa kaka ni mji wa hovyo sana km 50 upo border ya Uganda km 200 uko Congo yani siku 1 namaliza Boda zote na gari ndogo ni nchi ya kusadikika ukija huku utajiuliza hiyo nchi ipo wapi?
Mimi huwa nawashanga sana Mara ni mji msafi Africa Mara nini Kigali sijui nini kunamiji misafi Kigali haigusi # Windhoek Namibia bara gaborone gabs Botswana hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi ya kijinga kama Rwanda nchi ambayo ukimsema vibaya Kagame kesho unauawa.nchi ambayo ukionekana unakula Mara 3 wanajua wewe ni mgeni nchi ambayo mchana tunakula kivuguto ndio Lunch Nchi ambayo ndizi tunauziwa kwa kupima ktk kilo kitu cha maana huku Rwanda ni wanawake zao kuwa na maji tu ( Natural water ) tak*o mbili tu atamwaga maji mtakosa pa kulala.
Rwanda ni nchi ambayo Hotel na Guest house zote zina maturubai ili wanaomwagana maji wasiharibu magodoro
HIvi hii Habari ya godoro kuwekwa Torobai au plastic cover ni kweli au utani? Maana kila mtu aliyekwenda Rwanda anasema . Ningependa na angalau kapicha nipatie udhibitisho
 
HIvi hii Habari ya godoro kuwekwa Torobai au plastic cover ni kweli au utani? Maana kila mtu aliyekwenda Rwanda anasema . Ningependa na angalau kapicha nipatie udhibitisho
Nikweli mkuu Godoro zimewekwa plastic cover kama godoro za hospital naukiopoa manz mkifika ndani mkitaka kuanza shoo kama umesaula umebaki na cnglend anakusihi uitoe coz italoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu mifuko msiipe kichwa Rwanda bana, hapo kando ya bahari, Unguja mbona wamefauru sana tu.

Jaribu kubeba mfuko huo alafu shuka kwenye chombo uende nao mpaka pale kwenye ukaguzi wa mwisho ili utoke nje.
 
Wakigundua ww nimgeni naukaleta swaga zakuongea kingereza wanaamini moja kwamoja ww dolali ipo vzr kwapochi...

Ukiagiza supu yakuku kuwa makini mimi nililetewa supu nikaish2kia kua huyu sio kuku mana mfupa wapaja ulikua ktk shape ya pembe tatu akat minajua mfupa wakuku upo round kuuliza nikaonyeswa lindege flani ivi kule wanalila sana napicha yahuyo ndege imechorwa kabisa kwene kuta zaile cafe...

Maharage kule wanayaunga kwakuyakausha no harage lamchuz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata tanga na mtwara vibaya sijawahi kuwaona wala kusikia mtu kabisa
Mimi nimeishi Mtwara Tanga na Kigali kwa hiyo ninachokwambia ni kweli sasa kama unataka kuleta Ligi huu sio wakati wake tukutane Mgitondo...urumva?!!
 
Ni ujinga wao wakati wenzetu wanaendelea sisi wengine wanawaza wamuweke nani ndani na biashara gani ife

Huwa nashangaa sana hao waliopewa majukumu
Ndio maana Rais amelizungumzia hilo kuwa hizo ofisi sio zao
Unamkuta mtu ukimsalimia kakunja uso utaikiri mligombana
Na wengine wanaweza kukuambia ofisi yetu haihusiki maana kuna wengine hawajui hata ofisi yake inahusika na nini

Pole mkuu maana tunajifanya wajanja wakati ni tunapoteza mapato na kuzidi kurudi nyuma siku hadi siku

Sent from my SM using Tapatalk
Hahah 100% ukweli mtupu huu.

Mkuu kuna ofisi za serikali ukienda unaanza kuwaza sijui ntawakuta wafanyakazi wana mood gani pale ofisini kwao.
 
Hahah 100% ukweli mtupu huu.

Mkuu kuna ofisi za serikali ukienda unaanza kuwaza sijui ntawakuta wafanyakazi wana mood gani pale ofisini kwao.
Inakera sana
Yaani nashindwa kuelewa kabisa kwanini huwa wanabadilika pindi wanapokuwa maofisini ajabu sana

Sent from my SM using Tapatalk
 
HIvi hii Habari ya godoro kuwekwa Torobai au plastic cover ni kweli au utani? Maana kila mtu aliyekwenda Rwanda anasema . Ningependa na angalau kapicha nipatie udhibitisho
Ni kweli mkuu wanawake wa huku ukimchezea tu KISIMU anafungulia koki maji anayamwaga kama dawasco ila ni Ka style ukikazoea katamu
 
Ni kweli mkuu wanawake wa huku ukimchezea tu KISIMU anafungulia koki maji anayamwaga kama dawasco ila ni Ka style ukikazoea katamu
Kwa utafiti wako nini inasababisha hiyo Hali kwa wanawake wa Rwanda mpaka kusifiwa sana kwa Hako Katabia?
 
Back
Top Bottom