Kifurushi cha Tigo Home Internet

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
989
798
Habari za asubuhi wakuu! Kwenye pita pita zangu kwenye menu ya tigo *147*00# nimekutana na hichi kifurushi cha Home Internet, na kwa bei hii nimeona kama kizuri kwa GB wanazotoa kwa mwezi especially hapo kwenye GB 100. Ningependa kujua kwa waliokitumia, experience yenu ilikuwaje kabla sijapoteza elfu 85 zangu; kwa kuwa nina miaka isiyopungua 3 line yangu ya Tigo sijawahi tumia kwa internet. Sasa naona vodacom hakuna vifurushi vizuri, na TTCL spidi yao sio nzuri kivile.
Screenshot_20190824-124438.jpeg
Screenshot_20190824-124447.jpeg
Screenshot_20190824-124501.jpeg
Screenshot_20190824-124517.jpeg
 
Nimeshajaribu kwenda kwa haya makampuni yanayo toa huduma za Fibre to home, na Majibu yao ni kuwa hawafikii maeneo nje ya city centre. Wateja wao ni Masaki, Oyster Bay n.k
Na of course hiyo line itakaa kwenye Wi-Fi router.
jaribu TTCL mkuu kwa bajeti hio nizaidi ya kitonga labda kama eneo ulilopo sio rafiki
 
This is excellent! Kudos Tigo.

Kwenye router yangu nimeweka SIM ya Voda, though expensive speed inaeleweka. Niliachana na halotel sababu ya speed.

TTCL ni non competitive, smile too expensive.

Please mitandao mingine wekeni hivi vifurushi. Siku hizi nyumba nyingi ni IT enabled. Tunahitaji constant internet connection to share across multiple devices bila woga wa kuangalia salio la MB.
 
UPDATE: Naona Tigo wame launch hii huduma ya Home Internet leo rasmi. Mi fi - 125,000 pamoja na 40 GB bure na Router - 250,000 unapewa 100 GB. Mnaweza kuangalia Launch event katika Instagram page yao: https://www.instagram.com/tigo_tanzania/?hl=en walivyo elezea kila kitu .View attachment 1196579View attachment 1196581View attachment 1196582View attachment 1196583
Nilienda ofisini kwao Ijumaa wakaniambia leo ndio zitakuwepo. It's interesting sema kuna kamchezo kachafu sana nimekagundua wanakacheza hapa...
 
Huu sio usanii kweli. Kuna vifurushi vya wiki na vya mwezi, vya wiki unapata cha 25k-40GBs ila only 20Gigs ndio unaweza kuzitumia mchana, zingine zote zinatumia usiku saa sita mpaka saa kumi na mbili. Same goes kwa package zingine za juu ya hapo. Ni unapata nusu ya size hiyo mchana. I mean i am a night owl and will probably use zote hizo za usiku lakini this is cheating ase. Wanadanganya watu kwa kutoweka this fact clear.

cc: Chief-Mkwawa utakuja

tigo usanii 1.png
tigo usanii 2.png
 
View attachment 1196713 View attachment 1196714
Hata Mimi niliona mkuu, Kuna usanii Fulani, Hapo Ni nusu kwa nusu, hivyo vinakuwa sio value for money kucompare na vifurushi vyengine.
 
Aisee niliona, sasa mbaya zaidi ni huo muda walioweka saa 6 usiku yani dah! Zamani huu muda ulikuwa sio tatizo kwangu lakini now labda Friday na Saturday ndiyo hizi GB nitaweza kuzifahidi.
 
Dah yani wizi kabisa.
 
Back
Top Bottom