TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Kifurushi hiki zamani kilikuwa bora na chenye chanel za kutosha zenye kuhabarisha na kufurahisha, lakini siku za hivi karibuni wamepunguza sana chanel na nyingi kati ya zilizobaki ni zisizo na umuhimu, tunaomba atleast mtuongezee aljazeera na france 24 ili tupate pia habari za nje.