Kifungu cha 27 Sheria ya TAKUKURU ya mwaka 2007 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifungu cha 27 Sheria ya TAKUKURU ya mwaka 2007

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kichuguu, Jul 22, 2011.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Sehemu yakifungu hicho cha sheria, kinaainisha kuwa mtu akiwa na mali ambazo hazilingani na kipato chake alichokipata akiwa madarakani au baada ya kuondoka, ni kosa kisheria.

  "Mtu ambaye atafanya kosa akiwa au akishikilia madaraka ya umma, kwa kuishi kwa kipato ambacho hakilingani na kipato cha sasa au kile alichopata…Au anayemiliki mali ambazo hazilingani na kipato chake kisheria, atakuwa akitenda kosa." Kifungu hicho kinaeleza.

  Je sheria hii iko sahihi? na je kweli inafanya kazi Tanzania, vipi kwa mtu aliyeingia madarakani akiwa na mali nyingi zaidi ya kipato chake cha utumishi kama ilivyokuwa Rostam, lakini akapata mali zaidi?

  Kama kweli sheria hii inafanya kazi Tanzania, je ni afisa gani wa serikali ambaye atapona? Angalia maafisa wa polisi, mahakimu, maafisa wa kodi, watumishi wa serikali za mitaa, watumishi wa serikali kuu, Mkapa, Ridhwani, na .........................................
   
Loading...