Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,165
- 6,529
Kweli ndoa ni kifungo cha maisha.
Kwa wakristo tu Lakini. Waislam wanaruhusiwa hadi wanne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kibichi kabsaaaSio wanne tu hata nane maana mmoja akizingua talaka njian kesho kinaletwa chombo kipya
Ila wengine wanatoboa ukuta na kuruka njee na baadae kurudi ndani. hatari sanaAma kweli hicho kifungo tena cha kufa na kuzikana
Kweli. Du. Inahitaji moyo wa ziadaSio wanne tu hata nane maana mmoja akizingua talaka njian kesho kinaletwa chombo kipya
Tena kibichi kabsaaa
Ndio mwanzo wa kuchepukaKimbembe ni pale usipofanya uchaguzi sahihi..
nasikia wakifungaga hiyo pingu ya maisha hawachepukagiUna utani wa ngumi na wakina Mwa mwa mwa....
Ndo hapo utakapoona dunia imekutenda, na kukutengaKimbembe ni pale usipofanya uchaguzi sahihi..
Hahaha huenda labdanasikia wakifungaga hiyo pingu ya maisha hawachepukagi
.safi sana, tena unapewa cheti kabla ya kuhitimu
Imehamia kwa wanyaki baada ya wasukuma na wachaga kushindikana