Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,311
Wakubwa wa dunia hii wana msemo usemao "Make Order Out of Chaos". Yaani kwa kiswahili tunaweza kutafsiri kama anzisha sekeseke kisha utumie hilo sekeseke kuunda sheria/mifumo mipya.
Hii COVID19 iwe ni man made ama ni natural disaster lakini mwisho wa siku ikiisha tutegemee mabadiliko makubwa kwenye nyanja mbalimbali.
Kitu kipya kikubwa kitakacholetwa kwa kasi ni matumizi ya Artificial Intelligence (AI) kwenye miili ya wanadamu kwa kisingizio cha kuwezesha early detection of pandemic diseases ili maafa kama ya COVID19 yasije yakajirudia tena.
Mambo mengine ni kama ifuatavyo:
1. Kuongezeka kwa chanjo wanazopata watoto pindi wanapozaliwa.
2. Dunia kuachana na matumizi ya noti na sarafu na kuhamia kwenye digital money. Hapa kina Bitcoin na Facebook Coin wanaenda kutake over.
3. Taratibu za kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine kubadilika kwa kiasi kikubwa.
4. Kubadilika kwa sheria na miongozo ya kazi. Hizi lockdown zinaathiri sana uchumi, hivyo lazima kibuniwe kitu cha tofauti ili huko mbeleni hata mkikaa ndani mwaka mzima uchumi ubaki palepale.
Yapo mengi sana yatakayobadilika lakini hayo ni kwa uchache tuu.
Mungu ibariki Dunia, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.