Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,072
- 2,306
Bro waadabishe kwa njia nyingine ila sio hii ya kuchukua sheria mkononi ni upumbavu tuNatamani kujua jinsia yako
Maisha yako ni bora kuliko maisha ya mtu yoyote hapa duniani, hasira walizokupa zisikufanye usahau hilo
Waadabishe kwa njia nyingine