Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,232
2,000
Bro waadabishe kwa njia nyingine ila sio hii ya kuchukua sheria mkononi ni upumbavu tu

Maisha yako ni bora kuliko maisha ya mtu yoyote hapa duniani, hasira walizokupa zisikufanye usahau hilo

Waadabishe kwa njia nyingine

Kwani anafanya kumbaka mkeo?

Kama ni kwa ridhaa ya mkeo shida ni mkeo au huyo jamaa?

Bora kuamua kumuacha mkeo hata kama ataenda kuishi na huyo jamaa haina shida.

Kwanza wahuni wanapendaga kutembea na wake za watu wakiwa na waume zao wakishaachwa na wao huwaacha!
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,232
2,000
Samahani kwa kuandika Haya lakini naona unatatizo la inferiority complex!

Kwa hiyo wife ndiye bread earner?

Mkeo anafanyakazi au ndio anapewa hela na huyo bwana kisha mnakula Na kujikimu?

Pole kaka, ni mtihani !

Fanya mazoezi, Fanya tahajudi sali, soma Neno nenda kwa psychiatrist atakuhudumia.
 
Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,253
2,000
Yeeeeah!!!!

Ukiwa na pesa hata ukiachika pressure inapungua.....

Ila ukiwa hauna lzm uone kutokuwa na pesa ndo chanzo cha kuachika.
Nikiwaza Sina hata hela yakupeleka mtoto logde ndo napata uchungu was kusalitiwa na mke wangu other wise ningukua kata funua tuuu
 
Biboz

JF-Expert Member
Jun 4, 2019
251
250
Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu alafu unanitukana et nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!!???

Mzigo nilikua nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitorizika Ila ntaka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake za watu kwa dharau.

Na wife wangu ujiangalie sitokuacha Hivi Hivi you will pay for it.

Mimi na Watoto wangu hawawezi teseka alafu watesi wao wakala Bata tuu.
Kumekucha
 
Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,253
2,000
Samahani kwa kuandika Haya lakini naona unatatizo la inferiority complex!

Kwa hiyo wife ndiye bread earner?

Mkeo anafanyakazi au ndio anapewa hela na huyo bwana kisha mnakula Na kujikimu?

Pole kaka, ni mtihani !

Fanya mazoezi, Fanya tahajudi sali, soma Neno nenda kwa psychiatrist atakuhudumia.
Mke wangu nimemfungulia ofisi maeneo ya mjini.
Pesa yake siulizi anatumia mwenyewe naskia Tena zinaliwa na jamaa.
 
Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,253
2,000
Kwani anafanya kumbaka mkeo?

Kama ni kwa ridhaa ya mkeo shida ni mkeo au huyo jamaa?

Bora kuamua kumuacha mkeo hata kama ataenda kuishi na huyo jamaa haina shida.

Kwanza wahuni wanapendaga kutembea na wake za watu wakiwa na waume zao wakishaachwa na wao huwaacha!
Nilichogundua tatizo Ni wife
Anadai makwazo yamezidi ukweni so ameenda kwa jamaa kutafuta pumziko
 
Chiumbe

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
280
500
Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu alafu unanitukana et nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!!???

Mzigo nilikua nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitorizika Ila ntaka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake za watu kwa dharau.

Na wife wangu ujiangalie sitokuacha Hivi Hivi you will pay for it.

Mimi na Watoto wangu hawawezi teseka alafu watesi wao wakala Bata tuu.
mke anauma jamny
 
jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
1,763

We vimilia kuna msemo unasemwa hapa jukwaani tusioe mwanamke mwenye mtotokwaiyo huyo jamaa kaoa mke wako siku ukimutaji kupasha kiporo utakipasha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwameh

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
1,568
2,000
Ukijifikiria wewe peke yako ukawasahau watoto ambao maskini wala hawana taarifa kama kuna mtu kachepuka,
wakajikuta wewe upo jela ya serikali,wao wapo jela majumbani kwa jamaa zako wanalazimika kulala na shamba boy
maana vyumba havitosi.nakwambia mateso yao yatazidi ya kwako mara mia.
si bora kwa jamaa zako

wanaenda kuishi na huyo shamba boy
na kama ni watoto wa kike hilo njemba kama halina dini linawapeleka pwani wao na mama yao…
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,833
2,000
Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu alafu unanitukana et nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!!???

Mzigo nilikua nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitorizika Ila ntaka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake za watu kwa dharau.

Na wife wangu ujiangalie sitokuacha Hivi Hivi you will pay for it.

Mimi na Watoto wangu hawawezi teseka alafu watesi wao wakala Bata tuu.
Wenye hasira huwa hawapiga mikwara jf nenda front line umpige huo mkwara,shida ingine mtu akikutombea wife wako sana anakujua huna ubavu wa kumfanya lolote
 
yellow eyes

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
2,418
2,000
Nimesali saana kukiondoa lakini wanakirudisha kwa nguvu sa nifanyeje?
Huna lolote we ni mnyonge hata unavosound inajidhihirisha, kikubwa we temana na huyo mwanamke kama unaushahidi wa kutosha kuhusu kukucheat, mpige taraka3 endelea kutafuta pesa ili ulee watoto wako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom