Kifua kubana, Koo kuwasha na mafua makali. Hali ikoje mahali ulipo

Wakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo.

Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
Hata mimi,tena mimi nasumbuliwa sana asubuhi na usiku
 
Wakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo.

Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
Tumia malimao mkuu hiyo kitu imenisumbua sana mwezi January na February Hadi nikataka kuandika wosia..

Hapa jf hakuna aliyejivukisha kunishinda Mimi yaan hata jiwe haoni ndani ...
 
Ila limao jaman linaumiza balaa meno na ulimi..ww unalidilutije jamani
 
Lamba konyagii dry kila jion kula chakul yenye pilipil mwendokasi chai upige na tangawizi nalimao utanishuuru
 
Wakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo.

Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
Kama uko Dar kawaida hio. Ni ya msimu.
Mimi mwenyewe hali ilikuwa hivyo hivyo Karibuni sasa hivi naendelea poa.
 
Wakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo.

Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
Ubanwe kifua na mafua makali, huo ujasiri wa kuja huku kuanzisha Thread unautoa wapi?

Dr. Mpango tu hakuweza hata kupokea Simu za Mwendazake wakati ule amebanwa.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom