Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,164
- 1,520
Unawezaje kutofautisha kifo kizuri na kibaya? Hivi kuna kifo ambacho kinakosa muombelezaji hata mmoja, pale ambapo maelfu kwa maelfu wanapo kuwa wakifurahia kifo hicho, kwa kula na kunywa, na kucheza midundo kwa shangwe? Kwa maoni yangu hakuna uzuri au ubaya katika kifo chochote, kwa mtazamo wa jumla. Karibu, tujengane kifikra katika jambo hili la kuombeana vifo vibaya au kifo chema.