Kifo kingine tena, ni Simone Battle wa X Factor kafariki

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,596
2,000

Kifo kingine tena, ni Simone Battle wa X Factor kafariki.

Simone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani.

Bado chanzo cha kifo chake hakijasemwa lakini uchunguzi unaendelea zaidi kujua ni nini kilitokea na wala hakuna taarifa za ziada zilizotolewa zaidi ya hii ya kusema amekutwa amefariki nyumbani kwake.
 
mtoto wa maskini

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
1,152
2,000
Mbona uyo dada kafariki 2014 na sababu alijinyonga mwenyewe kisa alifilisika kama sijakosea mana nakumbuka alikuwemo kwenye kile ki series cha every body hate chriss
 
Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,596
2,000
Amefariki sababu ya kucheza filamu ya kumkashifu S.A.W? au amefariki kwa sababu muda umewadia? (japo kukashifu si jambo jema hata kidogo)
Soma vizuri,nimeandika aliyemkashifu,sikuandika amekufa kwa kumkashifu Mtume Muhammad S.A.S.Japo huwenda hiyo pia ikachangia,unamkashifu mtu ambaye hajakukosea chochote wala kukutukana wala kukudhulumu chako chochote,wala hujawahi kuonana naye.Vijana wa sasa wanajipunguzia maisha kwa kutukana au kuwakashifu waliowapita umri.
 
MPHINGU

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
519
1,000
Kifo kwa mungu sio adhabu, lakini kuuwawa ndio adhabu kwa anaye uwa, kwa kuwa yeye anakusafirisha, wakati wewe mda wako wa safari hauja fika
 
Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,596
2,000
Kifo kwa mungu sio adhabu, lakini kuuwawa ndio adhabu kwa anaye uwa, kwa kuwa yeye anakusafirisha, wakati wewe mda wako wa safari hauja fika
Wapi pameandikwa amepewa adhabu,vijana wa leo tunajipunguzia umri kwa kukashifu waliotizidi umri.
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,509
2,000
Soma vizuri,nimeandika aliyemkashifu,sikuandika amekufa kwa kumkashifu Mtume Muhammad S.A.S.Japo huwenda hiyo pia ikachangia,unamkashifu mtu ambaye hajakukosea chochote wala kukutukana wala kukudhulumu chako chochote,wala hujawahi kuonana naye.Vijana wa sasa wanajipunguzia maisha kwa kutukana au kuwakashifu waliowapita umri.
Well said. ...Amen RA
 
MPHINGU

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
519
1,000
Mungu kuna vitu viwili anavovitoa kwa mja wake.
1-ni zawadi kwa anaefanya mema na zawadi hiyo ni baada ya mjawake akifa huko mbinguni anampa pepo ya mlele paradise.
2- kwa mwenye laana, mungu anampa adhabu ya moto wa milele huko mbinguni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom