the kind
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 775
- 573
Amani iwe nanyi
World average life span,katika kila nchi duniani kunakua na umri wa ukomo wa kuishi mfano kwa hapa kwetu Tanzania ni kuanzia miaka 60 means kwamba ukifika miaka 60 basi kwamba kifo ndio hatua inayofuata
Lakini pia wazungu wanaamini kua ikitokea mtu amekufa chini ya muda wa kuishi kulingana na mahali husika basi kuna makosa ambayo yamefanyika hapo katikati ndio imepelekea/sababisha kifo kama vile uzembe/ajali,maradhi na sababu nyingine nyingi
Pia baadhi ya vitabu vitakatifu vinasema kua kila mwanadamu ana umri ambao amepangiwa kuishi hapa duniani na pindi umri huo ukifika basi haitopingua wala kuongezwa saa wala dakika
SWALI,JE NI kweli kifo kinaweza kua kabla ya wakati ama kila kifo kinatokea kwa wakati sahihi?