Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Ukweli usiopingika kuhusu binadamu .Binadamu tunapitia vupindi Vingi kwenye maisha yetu lakini kuna vipindi huwa ni vigumu hata kuelezeka kipindi cha kufiwa huwa kinauma sana hasa unapofiwa na MTU wako wa karibu .
Nipo kwenye msiba wa jirani yangu hapa.Vilio navyoviona hapa wafiwa wanalia kwa uchungu huwa vinanipotezea kabisa amani ya moyo wangu.Nachukia kifo ila siwezi kushindana na mungu
Sipendi kuhudhuria misiba hasa ila sina jinsi.Na nimetokea kuchukia kwenda misibani sababu najikuta kama Mimi ndio nimefiwa msiba unanikumbusha mbali sana.Msiba unanikumbusha ukiwa nilio nao nilivyopote zawazazi wangu kwa mfululizo yahn mababa wote kwenye familia baba wakubwa wadogo na baba mzazi na matokeo yake tumebaki mayatima familia ya watoto watupu na wanawake inaumiza sana...ukiwa mbaya sana jamanii.
Nahuzuni sana siku ya leo .Lakini nimejifunza kitu kwenye maisha. Ni lazima tufe ili tupishe vizazi vijavyo.
Ahsante mungu kwa kila jambo.
R .I.p dady
qully nafsi dharikat mauti