Kifo cha Wangwe: Mtikila ajirudi au anazushiwa?

Any progress kutoka kwa kahaba wa siasa au ndio tunasubiri kwenda mahakamani kuwashitaki CHADEMA.

hivi ile kesi ya RA alifungua au ndio aliishia kusema tu bila vitendo.
 
Any progress kutoka kwa kahaba wa siasa au ndio tunasubiri kwenda mahakamani kuwashitaki CHADEMA.

hivi ile kesi ya RA alifungua au ndio aliishia kusema tu bila vitendo.
kesi ilishafunguliwa soma gazeti la tanzania daima la jana au juzi wameweka mpaka kesi namba....watu wako fit kuuzima uongo wotewaliozushiwa na wanasiasa uchwara na vibaraka vyao kina kubenea
 
Mtikila anasema

- Nililipwa kwa kazi niliyokuwa nafanya ya kusema uwongo kuhusu Uchaguzi wa Tarime na Chacha Wangwe

- Niliahidiwa kupewa ulinzi mkali katika harakati za kufanya hiyo kazi.

- Sikupewa ulinzi nilivyokuwa Tarime na kujikuta napigwa na kutokwa na damu yangu.

- Nimetubu


Mwisho
Nia yangu ya kutetea taifa langu la Tanzania iko pale pale na nina sababu zote za kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi yangu ambazo tumepewa urithi kwa ajili yetu na watoto wetu haziporwi na
Mafisadi na Magabachori bali zinavunwa na kutumiwa kwa manufaa ya wana na mabinti wa nchi yangu Tanzania



R>I>P Mchungaji Mtikila.Mola ndiye anayejua malipo.

 
Back
Top Bottom