Kifo cha Wangwe: Mtikila ajirudi au anazushiwa?

Usipoteze muda kuitafuta kwenye magazeti, hautaiona kwa sababu haipo. haya ni mambo ya kampeni mkuu, kuna mengi yanayotendeka behind the scene kuhusu haya maneno, tunayoyasema humu ni sehemu ndogo ya kitu halisi kilichopo

Du ama kweli sasa ITV mbona hatuishambulii ili sijui mhariri ama SaKINA naye aunde kamati ya kuchunguza hilo.?

Kwani hao wana habari wa ITV wamesoma kweli? ama wanakiuka tu taaruma yao.?

Kwa hiyo saizi tutaamini je? kweli kule CHADEMA Tarime wanapendwa kama magazeti na vyombo vyao vya habari vinavyoripoti?
Ama tuta amini vipi kuwa hawatendewi haki huko tarime?
 
Who r u mpaka uniambie niachane na jf? yes narudia standard zimeshuka na prove hilo wewe mwenye standard za juu umekuwa unajibu hoja za mwenye standard za chini! Eti kuidhalilisha jf unadhalilika wewe na hoja zako fyongo.

Typical kiwavi jeshi..... huna muda wa ku digest kitu wala na kunya hapo hapo!

Masatu acha ukali, ndio matunda ya kukua kwa jamvi kwa hiyo watu wenye fikra na mitizamo tofauti vile vile watakuwa wengi sio kama zamani mlivyokuwa wachache. Na bad thing ni kuwa huwezi kumzuia mtu kusema au kupost chochote humu, ingekuwa blog ya kawaida ungechuja kwanza kipi kipite na kipi kisipite.
 
Kukua kwa jamvi? Huku mwenzako analalmika na kujitahidi kuishusha JF standarad? Kuna watu wanastahili kupimwa akili kabla hawajawa registerd humu.Huku tutajikuta tunachati na wendawazimu,majuha!
 
Unalazimisha hoja na kwa kushauri watu wapimwe akili kabla kuwa registered hapa kunathibitisha ugando wa mitazamo yako. Sound u still stuck in the earlier 1970's this is www age mate...
 
Huna hoja umebaki unabwabwaja ovyo kama ni ni dustbin wewe unastahili kuingizwa mzima mzima maana unamwaga pumba through-out...

Masatu,

Easy with your language young man, utaachiwa radhi hapa na wajomba zako!!

hupotezi kitu kukubali ukweli - na hapo utakuwa umepiga hatua moja mbele ktk kujifunza!
 
Unalazimisha hoja na kwa kushauri watu wapimwe akili kabla kuwa registered hapa kunathibitisha ugando wa mitazamo yako. Sound u still stuck in the earlier 1970's this is www age mate...

Mkuu,

Mkuu ukinilinganisha na wewe,wewe nikijeba sana mkuu.Naogopa kukuandikia maneno makali nikiwa nyuma ya PC wakati tukiwa ana kwa ana naweza kuweweseka kwa sababu ya age yako ilivyoyoyoma mkuu.Hata hivyo,pumba zako hapa ndizo zinanifanya nikudharau,unajua sometimes maandishi yana-reflect age ya mtu?

Sasa huku ulikofika kuhusu watu waliozaliwa 1970's ni kwingine,hapa ni kutukana watu wa hiyo miaka mkuu na kuaachia wakufundishe discipline wenyewe.Just think even million times before posting your crap bro!
 
Even if Mtikila kazushiwa Nani asiyemfahamu? Kazi yake kulilia saini 'zimefojiwa'.Najaribu kuona ni kesi ngapi Mtitikila amefungua, ameshinda ngapi, na ngapi zilikuwa dismissed.Kama kuna mtu anadata hizo atuwekee tafadhali.Ill see if iIcan make it
 
Wakuu,

Mnajua CCM ni mafia sana,hata mtikila inaonekana halijui hilo.CCM wanaweza hata kumtoa huyu jamaa Roho na kuifanya jamii iamini ni mpango wa CHADEMA,pia hata Mariam Wangwe.

CCM haina aibu wala huruma wa kutekeleza hilo,na mbaya zaidi hasa hizi siku mbili zilizobaki tutarajie mazingaombwe.
 
Thanks Nuru ya jamii, wataumbuka wengi, si Mtikila tu na watetezi wao....Masatu, Mkamap na yule mzee mwingine anayeheshimika sana hapa JF!

Sijawahi kuona chama HOVYO kama CHADEMA .

Hii ya kufoji sahihi nakuirusha ITV imeniacha MBUZI ,Taratibu waumini wa JF tutaanza kung'amua jinsi gani CHADEMA walivyo.

Hata hizo habari wanaowaleteeni humu eti sijui wananyanyaswa huko Tarime ni Uongo mkubwa kama huu mnaoshuhudia.

Habari nyingi mnazoziona humu zote ni za kupikwa,kwa kujengea waaumini wazuri taswira ya picha na kujenga mazingira mazuri ya kulialia mambo yatakapoenda ndivyo sivyo.

Mumeona wenyewe Wanahabari wa MENGI hawajashambuliwa japo wamefanya fyongo la karne nafuu hata ya fisadi RA na vyombo vyake.

mmeona wenyewe vile vyombo vya habari vya serikali vinavyoshambuliwa .Hapo wana JF na waalika wote tutambue wapi tulipo na kwanini tupo hapa .

Kushambulia uborongaji na ufisadi ni jambo jema sana LAKINI unaposhambulia FISADI wa pande moja na kumuacha FISADI wa pande nyingine ni hatari sana maana ni wazi kuwa mashambulizi hayo si yenye nia njema,thabiti na ya dhati.
 
Sasa kam umeachwa Mbuzi unamlilia nani hapa? Eti umekua Mbuzi,sasa unafanya nini hapa jamvini?

Kwa hiyo kwako unaona ni Bora RA anyeifisadi nchi kuliko Mengi na kampuni ya IPP inayowalilia walalahoi kila kukicha.Rostam Aziz anawasidia nin watanzania kama si kuwadhulumu tu? Halafu leo unakuja kumsifia hapa,huu ni upuuzi kijana.we jiumbue tu na pumba zako hapa
 
Sijawahi kuona chama HOVYO kama CHADEMA .

Hii ya kufoji sahihi nakuirusha ITV imeniacha MBUZI ,Taratibu waumini wa JF tutaanza kung'amua jinsi gani CHADEMA walivyo.

Hata hizo habari wanaowaleteeni humu eti sijui wananyanyaswa huko Tarime ni Uongo mkubwa kama huu mnaoshuhudia.

Habari nyingi mnazoziona humu zote ni za kupikwa,kwa kujengea waaumini wazuri taswira ya picha na kujenga mazingira mazuri ya kulialia mambo yatakapoenda ndivyo sivyo.

Mumeona wenyewe Wanahabari wa MENGI hawajashambuliwa japo wamefanya fyongo la karne nafuu hata ya fisadi RA na vyombo vyake.

mmeona wenyewe vile vyombo vya habari vya serikali vinavyoshambuliwa .Hapo wana JF na waalika wote tutambue wapi tulipo na kwanini tupo hapa .

Kushambulia uborongaji na ufisadi ni jambo jema sana LAKINI unaposhambulia FISADI wa pande moja na kumuacha FISADI wa pande nyingine ni hatari sana maana ni wazi kuwa mashambulizi hayo si yenye nia njema,thabiti na ya dhati.

Wewe unadhidi kuthibitisha kuwa una lako jambo na watu wa Tarime. Ulianza kwa fake aksenti za R na L kwenye maandishi yako, na sasa unakataaa kuwa watu wa Tarime "hawanyanyaswi" kwa vile wewe mkamap umesema!

Ndugu, punguza unazi, kwa watu wa Tarime, kuna real life issues zinaendelea kati yao na mamia ya polisi walioletwa "kutuliza fujo", kama unayoandika hapa ndiyo yanawakilisha kesi ya ccm hapa (jana ulisema wewe ni "kanda" wa ccm) basi ccm wanaelekea kupoteza hii kesi.
 
Huyu unazi unamfanya kituko.Huyu ni wa kuhurumia.Huwa ni mtu wa kumwaga low hapa siku zote kama ilivyo kwa mabosi wake akina Makamba
 
Kwani Manji na Rostam ni washkaji???? kama jibu ni ndio basi ngoja nipige mahesabu yangu hapa halafu nitawapa majibu...................kwanini ITV?? je TBC,channel Ten , DTV, au Star wameionyesha iyo Barua???? mmmh..kazi ipo hapa....
 
Wewe unadhidi kuthibitisha kuwa una lako jambo na watu wa Tarime. Ulianza kwa fake aksenti za R na L kwenye maandishi yako, na sasa unakataaa kuwa watu wa Tarime "hawanyanyaswi" kwa vile wewe mkamap umesema!

Ndugu, punguza unazi, kwa watu wa Tarime, kuna real life issues zinaendelea kati yao na mamia ya polisi walioletwa "kutuliza fujo", kama unayoandika hapa ndiyo yanawakilisha kesi ya ccm hapa (jana ulisema wewe ni "kanda" wa ccm) basi ccm wanaelekea kupoteza hii kesi.

Da CHADEMA duuu
Yani unafoji sahihi ,unaandika maneno yako yanasomwa ktk TV unarudi kuyatetea,kwi kwi kwi kwi kwi

Hii roho ya namna hii inaweza kweli kusita kutoa roho ya mtu?
 
Sijawahi kuona chama HOVYO kama CHADEMA .

Hii ya kufoji sahihi nakuirusha ITV imeniacha MBUZI ,Taratibu waumini wa JF tutaanza kung'amua jinsi gani CHADEMA walivyo.

Hata hizo habari wanaowaleteeni humu eti sijui wananyanyaswa huko Tarime ni Uongo mkubwa kama huu mnaoshuhudia.

Habari nyingi mnazoziona humu zote ni za kupikwa,kwa kujengea waaumini wazuri taswira ya picha na kujenga mazingira mazuri ya kulialia mambo yatakapoenda ndivyo sivyo.

Mumeona wenyewe Wanahabari wa MENGI hawajashambuliwa japo wamefanya fyongo la karne nafuu hata ya fisadi RA na vyombo vyake.

mmeona wenyewe vile vyombo vya habari vya serikali vinavyoshambuliwa .Hapo wana JF na waalika wote tutambue wapi tulipo na kwanini tupo hapa .

Kushambulia uborongaji na ufisadi ni jambo jema sana LAKINI unaposhambulia FISADI wa pande moja na kumuacha FISADI wa pande nyingine ni hatari sana maana ni wazi kuwa mashambulizi hayo si yenye nia njema,thabiti na ya dhati.

Nilidhani hili jamvi ni kwa ajili ya watu tu kumbe na mbuzi wamo? kwi kwi kwi..

Huyu Mtikila ni 'lost case' Waraka huenda kaandika mwenyewe, mara anarukia kudai kasingiziwa, yeye si mzee wa mahakama? anasubiri nini?

Afu vipi alivo wasingizia kanisa la wasabato Tarime eti wanamchangia pesa za kampeini? the man is an insane period!
 
kwi kwi kwi

heli ya MAFISADI kuliko MAFIA+ MIFISADI
 
Back
Top Bottom