Kifo cha Wangwe: Mtikila ajirudi au anazushiwa?

Nusu ya mijadala ya hapa iko based on misinformation!

Ni nusu ya mijadala yako wewe ndio iko misinformed, jaribu kujifunza kuweka hoja bila maneno ya chooni, kama hoja yako ni kutaka usichokijua basi uliza kwa uastaarabu hapa sio Mtukula, ambako watu wote wanakuwa na bunduki ndani ya suruari,

Hapa hakuna mke wako wala mtoto wako wa kumuuuliza maswali kama unawalipia kodi ya nyumba, hapa tupo watu wazima, unaonekana bado una tabia za chekechea za kusutana sutana bila sababu, hata mahali ambapo wewe mwenyewe unakubali kua hujui ukweli, lakini siku zote ni lazima uje na this kind of authority hivi huko duniani wewe ni mkuu wa magereza nini unafikri humu ndani wote ni wa wafungwa wako ?

Maana lugha ya kistaarabu huna kabisa kujifanya unajua sana ukweli wya DR. Masau yamekushidna mpakia leo huna cha ushahidi wala lawsuit, sasa kwa sababu umezoea tabia za uongo, unafikiri kila mtu ni muongo kama wewe, that is pathetic, get real hapa hakuna mtu unayemlipa kukuletea habari, watu wanatafuta habari ambazo zimetengenezwa na binadam wengine wenye mapungufu kama sisi wote sasa kama unaweza tafuta habari zenye ukweli zaidi ya zile zinazotolewa ili uelimishe watu hapa, you idiot badala ya kurusha rusha maneno ya chooni, unaishia kutupunguzia wachangiaji hapa huo uongozi wako fanyia nyumbani kwako kama unao kweli hapa tunataka hoja tu we could careless wewe ni nani huko duniani you idiot!!

Yes you are nothing but an idiot na unaharibu mijadala hapa you fool!, pelekea upumbafu wako hukoo! Idiot! Wewe una ukweli 100% sasa unatafuta nini mahali penye habari ambazo nusu yake ni misinformation? kama sio upumbafu!
 
Watu wanaangaika kutafuta habari huku na kule ili zifanyiwe tathmini na kuchochea mijadala yeye anakuja na kashfa na authority za chumbani kwake. Ahsante mkuu FM kwa kutusaidia kusema. The guy is indeed idiot!
 
Mbaya zaidi tumewaamini wanasiasa kuwa viongozi wetu

Wanaoendelea kuwaamini wanasiasa na viongozi wetu baada ya mambo chungu nzima yaliyojiri ndani ya nchi yetu yakiwemo ya mafisadi wa EPA, mikataba mibovu ya madini, Richmond, IPTL, mkataba wa kuendesha reli kati ya Serikali na Wahindi, ukwapuzi wa Kiwira uliofanywa na fisadi Mkapa, ufisadi katika ununuzi wa Rada, Ndege ya Rais, helicopters na magari ya jeshi, mkataba wa jengo la UVCCM basi inabidi tutathmini je, kuendelea kwao kuwaamini 'viongozi na wanasiasa' ni kutokana na wao kutokujua yanayojiri ndani ya nchi yetu au wameyasikia na kuamua kuyadharau na kuendelea kuwaamini 'viongozi na wanasiasa' hao?
 
Hili saga lote limesababishwa na kukurupuka kwa huyu anaejiita Invisible. The way alivyoileta hii habari anadai Mtikila "kasema" wakati kumbe ni taarifa fake tu.

I know of late standard zimeshuka hapa jf lakini kwa hili kutoka kwa mtu kama Invisible kwa kweli inasikitisha sana, tatizo watu wanasukumwa na kupagaishwa na ushabiki kiasi kusahau na ku cross check usahihi wa habari.

Hawa ITV ndio kabisa yaani chombo kikubwa cha habari kama hiki kinaokota habari ovyo tuu majaani? very sad indeed..

Mwanakijiji as usual spinning, spinning.....

Sidhani kama Invisible kasababisha saga lolote kwa kutuletea habari hii.Mtu yeyote mwenye akili timamu,na mwenye dhamira ya dhati ya ku-share habari na wana-JF wenzie hususan wale wasio na direct access na tv za huko nyumbani,angefanya exactly what Invisible did.He just reported what he saw on tv.Kuna mwana-forum mwenzetu kaleta habari ya Mwanahalisi kuhusu njama za mafisadi kumwondoa JK.Mbona huyo nae hajalaumiwa?Japo naafikiana nawe kuhusu ku-countercheck authenticity ya habari,lakini sijui how could Invisible au yeyote yule could have been able to countercheck taarifa hiyo iliyorushwa na ITV.Remember,ITV sio Uwazi au Risasi,it's a national tv,Tanzania's equivalent to BBC.
Nurujamii,

"Habari za uhakika" my foot!

Wengine tumechoka na taarifa za kasema kakanusha kagushi saini this time hakusema inasemekana kwa uhakika kabisa....!

Naomba nukuu ya kilichosemwa, na ni nani kasema au usiseme una uhakika mpaka utakapokuwa tayari kuleta huo uthibitisho wa Mengi au kusema nani kakwambia.

Source za kutoka kwa "Nurujamii," "Asiyeonekana," "TV," "Kuhani," "Nat666," "Mleta Data," na "Inzi wetu" bila uthibitisho ni mazungumzo ya ki kahawa kahawa....Nusu ya mijadala ya hapa iko based on misinformation!

Ukichoka kusoma au kuamini habari si unaiacha tu,acha wa kuiamini waiamini?UNategemeaje kutajiwa majina ya source JF mahala ambapo wewe,mimi na asilimia nyingine kubwa ya wana-JF wanatumia majina ya vificho?Hapa si mahakamani ambapo NI LAZIMA uje na uthibitisho ya unachosema,tungetaka uthibitisho wakati JF inaibua skandali kama EP,Richmond,nk tusingefika tulipo.Why not wait,before passing a judgement,kuona picha nzima inavyokamilika?Pengine by then ushahadi unahitaji hapa utakuwa umewekwa public na vyombo vya habari.

And finally,unataka uthibitisho kwa alichosema mwenzio ilhali wewe mwenyewe hutuonyeshi uthibitho wa hiyo "nusu ya mijadala hapa iko based on misinformation"!
 
Hivi hawa watu wanaopenda kugushi sahihi ya Mtikila wana nini? Nakumbuka alisema hivyo hivyo kuhusu Rostam na deni lake na akatishia kwenda mahakamani? Hivi wakimuambia wakati anatia sahihi na kuzungumza nao walikuwa wanamrekodi atasema nini?[/QUOTE]

Duh,

Mkuu umenivunja mbavu.
 
Hili saga lote limesababishwa na kukurupuka kwa huyu anaejiita Invisible. The way alivyoileta hii habari anadai Mtikila "kasema" wakati kumbe ni taarifa fake tu.

I know of late standard zimeshuka hapa jf lakini kwa hili kutoka kwa mtu kama Invisible kwa kweli inasikitisha sana, tatizo watu wanasukumwa na kupagaishwa na ushabiki kiasi kusahau na ku cross check usahihi wa habari.

Hawa ITV ndio kabisa yaani chombo kikubwa cha habari kama hiki kinaokota habari ovyo tuu majaani? very sad indeed..

Mwanakijiji as usual spinning, spinning.....

Mkuu,

Kama unachangia mjadala ni bora uchangie,achana na JF.Unasema JF imeshuka standard,wewe ndiye unaishusha maanke standard yako ni ya chini sana mkuu.

Kusema JF imeshuka standard ni kuidhalilisha pamoja na members wake wote,sasa sijui wewe unafanya nini hapa.Si utoke uende Darhotwire.Next time changia hoja achana na JF,kama hutaki chukua hamsini zako.

Btw: Kuna watu walikua wanalaani mtikila kupigwa,hata mimi nilikua mmoja wapo lakini sasa sina huruma nae.Anacheza na maisha ya watu kwa ajili ya njaaa zake,kwa mara nyingine tena,Heko watu wa tarime kwa kumchapa huyu pathetic Reverend!
 
Mwanzoni ulisema umeongea na Mtikila halafu bado kumbe huna uhakika kimetokea nini kwenye TV. Yani waleta data hakuna anaejua kilichotokea kwenye TV au anaeweza kuripoti alichokiona kwenye TV kimetokea/kimesemwa. Duuh! Imesomwa karatasi ya Mtikila, au imesemwa Mtikila kasema au katokea laivu. Nusu ya mijadala ya hapa iko based on misinformation!

Mkuu, tulia, some vema uelewe. Baada ya kuona ITV wakitangaza taarifa ya Mtikila, ndipo nilipompigia simu Mtikila mwenyewe ili kuthibitisha kuwa kama kweli yale yaliyosemwa ITV ni kweli. Yeye akakanusha wakati nazungumza naye kwenye simu. Umeelewa?
 
Kuna watu wana treat haya majadiliano humu kama ndio taarifa ya habari.Humu watu tunataarifiana kwa yale tunayoyajua kwa kuamini kuwa yatawasaidia wengine kwa ku share.Source is irrelevant,kwa sababu tumeona mara nyingi habari nyingi zikirekebishwa humuhumu.Lakini tukianza hii tabia ya ushahidi kila saa,then kuna mambo mengi yatakuwa hayaandikwi,kwa sababu labda mimi nimepwa taarifa au information na mtu ambaye siwezi kumtaja,sasa nisiitoe hio habari kwa sababu i cannot reveal the source?

Its Where we Dare to Talk Openly
 
Ndio wenye dhamana ya kufafanua juu ya utata wwt kwenye matumizi ya maneno ya lugha yetu mkuu......maana ulivyoambiwa statement yake imesomwa ITV....ww washangaa kuambiwa "kasema"!

Ri mutikira ritapigwa mawe hata kama rimetumwa na CCM.

Tatizo hapa Mtikila "hajasema" sasa unatafuta ufafanuzi wa kisichosemwa? got it?
 
Sidhani kama Invisible kasababisha saga lolote kwa kutuletea habari hii.Mtu yeyote mwenye akili timamu,na mwenye dhamira ya dhati ya ku-share habari na wana-JF wenzie hususan wale wasio na direct access na tv za huko nyumbani,angefanya exactly what Invisible did.He just reported what he saw on tv.Kuna mwana-forum mwenzetu kaleta habari ya Mwanahalisi kuhusu njama za mafisadi kumwondoa JK.Mbona huyo nae hajalaumiwa?Japo naafikiana nawe kuhusu ku-countercheck authenticity ya habari,lakini sijui how could Invisible au yeyote yule could have been able to countercheck taarifa hiyo iliyorushwa na ITV.Remember,ITV sio Uwazi au Risasi,it's a national tv,Tanzania's equivalent to BBC.

Ukichoka kusoma au kuamini habari si unaiacha tu,acha wa kuiamini waiamini?UNategemeaje kutajiwa majina ya source JF mahala ambapo wewe,mimi na asilimia nyingine kubwa ya wana-JF wanatumia majina ya vificho?Hapa si mahakamani ambapo NI LAZIMA uje na uthibitisho ya unachosema,tungetaka uthibitisho wakati JF inaibua skandali kama EP,Richmond,nk tusingefika tulipo.Why not wait,before passing a judgement,kuona picha nzima inavyokamilika?Pengine by then ushahadi unahitaji hapa utakuwa umewekwa public na vyombo vya habari.

And finally,unataka uthibitisho kwa alichosema mwenzio ilhali wewe mwenyewe hutuonyeshi uthibitho wa hiyo "nusu ya mijadala hapa iko based on misinformation"!

Mlalahoi u missed the point! alichotakiwa ku report Invisible ni kuwa ITV imesoma statement ya Mtikila blah blah blah.... badala yake ameripoti Mtikila kasema so, so so.... katika hal;i ya kawaida ya uendeshaji wa TV hii ime imply luwa Mtikila mwenye alikuwa anaongea na mtangazaji wa ITV kitu ambacho si sahihi.
 
Mbona naitafuta hii habari kwenye magazeti ya IPPMEDIA siioni,?
 
Mkuu,

Kama unachangia mjadala ni bora uchangie,achana na JF.Unasema JF imeshuka standard,wewe ndiye unaishusha maanke standard yako ni ya chini sana mkuu.

Kusema JF imeshuka standard ni kuidhalilisha pamoja na members wake wote,sasa sijui wewe unafanya nini hapa.Si utoke uende Darhotwire.Next time changia hoja achana na JF,kama hutaki chukua hamsini zako.

Btw: Kuna watu walikua wanalaani mtikila kupigwa,hata mimi nilikua mmoja wapo lakini sasa sina huruma nae.Anacheza na maisha ya watu kwa ajili ya njaaa zake,kwa mara nyingine tena,Heko watu wa tarime kwa kumchapa huyu pathetic Reverend!

Who r u mpaka uniambie niachane na jf? yes narudia standard zimeshuka na prove hilo wewe mwenye standard za juu umekuwa unajibu hoja za mwenye standard za chini! Eti kuidhalilisha jf unadhalilika wewe na hoja zako fyongo.

Typical kiwavi jeshi..... huna muda wa ku digest kitu wala na kunya hapo hapo!
 
Mbona naitafuta hii habari kwenye magazeti ya IPPMEDIA siioni,?

Usipoteze muda kuitafuta kwenye magazeti, hautaiona kwa sababu haipo. haya ni mambo ya kampeni mkuu, kuna mengi yanayotendeka behind the scene kuhusu haya maneno, tunayoyasema humu ni sehemu ndogo ya kitu halisi kilichopo
 
Ujuha na ukatuni as usual,halafu unalialia na JF.Wewe michango yako mingi hapa inatakiwa kutupwa kwenye dust bin ili isionekana na wageni.Back bencher,you are here for clapping.Idiot!
 
Ujuha na ukatuni as usual,halafu unalialia na JF.Wewe michango yako mingi hapa inatakiwa kutupwa kwenye dust bin ili isionekana na wageni.Back bencher,you are here for clapping.Idiot!

Huna hoja umebaki unabwabwaja ovyo kama ni ni dustbin wewe unastahili kuingizwa mzima mzima maana unamwaga pumba through-out...
 
Nashukuru kwa kupata new official status for kikaragosi Mtikila. He is indeed a political prostitute and as such i'd like to start addressing him as Kahaba (aka Kah.) Mtikila instead of Mch. Mtikila.

Sasa with regards to his recent stunt in Tarime, uwezekano ni mkubwa kwamba Kah. Mtikila alikuwa anatumiwa na mahasimu wa Chadema ili kupandikiza chuki ya wana-Tarime dhidi ya uongozi wa Chadema na ni hakika kwamba hakutegemea kipigo alichukipata huko Tarime, which goes to support a claim that he was assured of his safety by people who are known for their record of deceipt and not delivering on their promises....and that's none other than vikaragosi wa CCM wakiongozwa na mropokaji Makamba, mafia-styled "Capo" Mbilinyi with financial backing ya gabacholi wao RA na mzee wa kikurya Gachuma.

But what is more interesting is that all this has come up baada ya CCM kuasiwa na kada wao - opportunist Mwikwabe. Kuna watu wamefurahi kusikia huyu jamaa amejiunga katika campaign za Chadema in Tarime but if i were a leader in Chadema i'll be more than cautious na huyu jamaa. Swali la kujiuliza ni - Je, what role has this guy played in this whole "Mtikila-press-release" saga? I may be paranoid, lakini huyu jamaa asijekuwa amepandikizwa ili kukamilisha a larger scheme ya CCM ya kuchukua hili jimbo from Chadema.

Let's wait and see
 
Wazee si mpigiane simu mtukanane vizuri? mambo ya kutuonyesha kuwa mnajua hoja za nguvu na kashfa dhidi yenu, zina wadhalilisha tu. Acheni bwana, haifai.
 
Back
Top Bottom