Kifo cha utata cha mtangazi mashuhuri bw, Abdul Omary Masood. sababu ilikuwa nini?

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Vijana wa zamani habu naomba mnijuze Abdul Omary Masood mtangazaji wa michezo wa redio Tanzania ENZI HIZO aliuwawa na nani? na kwa sababu gani, tunasikia wauwaji wake walimwua yeye tu mbele ya familia yake na hawakuchukua kitu chochote wakakimbia ndani ya peugot 504, ni kwanini walimwua yule jamaaa na upole wake ue?
 
Huwa inasemekana kuwa jamaa aliwazima washirika wake katika dili la mazabe
 
Hivi nimechanganya au!huyu Marehemu Abdul Masoud alikuwa ni mwajiriwa wa Bobby Soap?maana nilisikia aliwadhulumu wenzake kwenye deal la sabuni au malighafi ya kutengeza sabuni walizo supply!
 
Vijana wa zamani habu naomba mnijuze Abdul Omary Masood mtangazaji wa michezo wa redio Tanzania ENZI HIZO aliuwawa na nani? na kwa sababu gani, tunasikia wauwaji wake walimwua yeye tu mbele ya familia yake na hawakuchukua kitu chochote wakakimbia ndani ya peugot 504, ni kwanini walimwua yule jamaaa na upole wake ue?

hii story niliwahi kuisikia kwa jamaa mmoja ni mtoto wa Temeke anamjua vzr marehemu ngoja nimuulize akinipa tu nitatiririka humuhumu
 
Ungeniwekea na historia ya maisha yake, ametembea na wake za watu wangapi n.k ningeweza kusajesti kitu. Otherwise ni swali la kipuuzi
 
hii story niliwahi kuisikia kwa jamaa mmoja ni mtoto wa Temeke anamjua vzr marehemu ngoja nimuulize akinipa tu nitatiririka humuhumu

jamaa kosa lake inaaminika alidhurumu,kuna jamaa walifanya ujambazi wakaenda jela inasemekana kabla hawajaenda jela mzigo wote walimpa marehemu walipomaliza kifungo wakarudi uraiani wakamkuta jamaa wakamwambie awape mzigo wao jamaa akawa anawazungusha wakampa muda akufanya hivyo muda ulipofika wakamtoa roho mbele ya watoto wake wakati wanamtoa roho wakamwambia tunakuua ila pesa zetu zitumike kuwasomesha watoto na nyie watoto msiwe na dhuruma kama baba yenu jamaa wakatambaa zao hawakuchukua chochote
 
Hivi nimechanganya au!huyu Marehemu Abdul Masoud alikuwa ni mwajiriwa wa Bobby Soap?maana nilisikia aliwadhulumu wenzake kwenye deal la sabuni au malighafi ya kutengeza sabuni walizo supply!

Yeah upo sahihi na unajua hawa wengine hawaijui
 
Back
Top Bottom