Vijana wa zamani habu naomba mnijuze Abdul Omary Masood mtangazaji wa michezo wa redio Tanzania ENZI HIZO aliuwawa na nani? na kwa sababu gani, tunasikia wauwaji wake walimwua yeye tu mbele ya familia yake na hawakuchukua kitu chochote wakakimbia ndani ya peugot 504, ni kwanini walimwua yule jamaaa na upole wake ue?