Kifo cha tajiri wa mabasi ya Super Sami: Mke mdogo asema rafiki wa marehemu huenda anahusika

@mamdenyi atakuwa ni mtaalamu sana wa haya mambo maana ni yeye pekee amesoma na kuona katikati ya mstari,

mke mkubwa naona aliachwa na ndo maana anaomba msaada wa kusomeshewa watoto wakati jamaa kafa na kuacha msululu wa mabasi,means mali iko katika himaya ya mke mdogo.

Kama katika dini ya josia marufuku kuacha mke ina maana huyo tajiri kazikwa kipagani ama?
 
Huyo mama nd'o maana aliongezewa mke mdogo . Kichwani anaonekana kupungukiwa na vitu fulani . Au wengine watasema ni kuchanganyikiwa na msiba
Hapana
Huenda hela zote zimeisha zuiliwa na ndugu kwa hiyo hana access tena ila anasubiri huruma yao tu
Hatuwezi kujua yote
 
yani polisi wa hii nchi ni vilaza kweli,jambo kama hilo kuwapata wahusika haichukui hata siku 2 nenda makao makuu ya mitandao ya simu aliyokuwa anatumia angalia 10 last calls alizopigiwa na kupiga.
kisha chukua namba za wake zake wote wawili-nazo zichungunzwe,lazima utapata muuaji-anayekutendea ubaya siku zote huwa hawatoki mbali.
 
@mamdenyi atakuwa ni mtaalamu sana wa haya mambo maana ni yeye pekee amesoma na kuona katikati ya mstari,

mke mkubwa naona aliachwa na ndo maana anaomba msaada wa kusomeshewa watoto wakati jamaa kafa na kuacha msululu wa mabasi,means mali iko katika himaya ya mke mdogo.

Kama katika dini ya josia marufuku kuacha mke ina maana huyo tajiri kazikwa kipagani ama?
Mke mkubwa hajaachwa alikua nao wote wawili.... soma vizuri utaelewa.

Hayo ya kuomba msaada labda kasema tu kwa kua ni mjane ila alikua nao wote wawili.
 
Ila sijui kwann sina imani na mke mdogo,
Atanisamehe ila.... okay atanisamehe kama namsingizia na Mungu anisamehe pia.
 
Huyo jamaa aliyetajwa na mke mdogo ni scapegoat tu ...ukiangalia patten ya mauaji yake ,yani kuanzia kutekwa kwake ,gari kuchomewa Serengeti kisha mwili wake kupatikana unaelea huku ukiwa ndani ya kiroba

Hayo mauaji yamefanyika na professional hitmen ...

Swali la kujiuliza ni nani huwa wamiliki wa professional hitmen kihalali ?

Ukipata jibu unganisha dots na huenda jamaa alikuwa kati ya wale wasiojulikana lakini wanajulikana ,akafanya jambo lililo pelekea mauaji yake .
Lengo lako ni kutuaminisha kwamba kauliwa na Serikali et? Makubwa...
 
Marehemu alidhulumu mali za watu, ilikuwaje mtu aliyekudhulumu na humpendi umkaribishe nyumbani kwako na mke wake na wawe wanalala kwako, hapo hapajakaa vizuri

Ungesoma na kuelewa husingeandika haya..

Jisikitikie kwa kutokujua kuelewa unachosoma
 
Back
Top Bottom