Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,004
- 173,644
Hahahah apo lazima mbilinge itokee babu, kumbuka wake wapo wawili na sterling wao kafa tayari. Bado ndugu wa jamaa wale choka mbaya lazma waje kugombania mali za kaka. Sio rahisi hapa bongo!Yaani Mme kaacha utajiri wote huo mama anaomba kusaidiwa kusomeshewa watoto na kupewa matunzo? Mama mjinga huyu, sitashangaa kusikia ameolewa!