Kifo cha Tabu Ley Rochereau

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Nimesikitika sana kupata taarifa za kifo cha gwiji la muziki barani Africa kupitia kipindi cha Hizi Nazo, Radio One leo, ingawa kwa kweli Sinatra wetu huyo kumbe alitutoka tangu jumamosi iliyopita. RIP Le Segnior, hii ni wiki mbaya sana kwa bara letu.
 
Back
Top Bottom