Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Habari zisizo thibitishwa ni kuwa Marehemu alimchomekea mwanajeshi na kumkwangua kidogo.waliomuua Swetu ni askari ambao ni Mke na Mme tayari wameshakamatwa na wapo kikaangoni. tusubiri labda yatakuwa kama ya akina ZOMBE kuachiwa kwa kwenda mbele
Walipoteremka na kuulizana marehemu akamtusi matusi ya mitaani mwanajeshi na mke wake akifikiri ni mtu na demu wake.
Yaliyoendelea hapo wote tumeyasikia.