Injinia
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 849
- 26
Michuzi ameandikia kwenye blog yake juu ya kifo cha Swetu Fundikira. Habari zinasema kuwa alipigwa na wanajeshi.
Kuna mtu mwenye habari zaidi?
Hivi wanajeshi wa Tanzania wako above the law? Na ni mafunzo gani ya kijeshi yanayowaelekeza kupiga raia asiyekuwa na silaha (nadhani) hata kama yeye amewatukana nk? Hamna mbinu nyingine ya kumtia mtu nguvuni?
Je nini hatima ya gari alilokuwa akiendesha? Maanake inasemekana rafiki yake alipofika eneo la tukio pamoja na polisi hawakulikuta
RIP bro!!