Tuishi na watu vizuri.
Ni vema amrudie Muumba; nampongeza sana huyu kaka mkubwa Mshana Jr Akibadili na chama, anakuwa amekamilika kabisaaaMshana siku izi unekuwa mwanasiasa, hata yale matopic yetu umeacha. Au umeokoka?
Hicho chuo nimechek kwenye website Yao inaonekana wapo vizuri sana. Wana kozi za kutosha, na Maprofesa Kam wote. Nikipata pesa nitaenda kusoma huko ili nijue kiingereza vizuri pale Mzumbe Madam Eliza full Kiswahili sikuondoka na kitu aseeMmh hili ni jukwaa la picha lakini na hizi ni hisia za watu huko kwa jirani baadavya Prof adanje kufa...Ni Prof sio mpolitik
Kenya university ni kama Makerere au UDsmHicho chuo nimechek kwenye website Yao inaonekana wapo vizuri sana. Wana kozi za kutosha, na Maprofesa Kam wote. Nikipata pesa nitaenda kusoma huko ili nijue kiingereza vizuri pale Mzumbe Madam Eliza full Kiswahili sikuondoka na kitu asee
Kivipi? UDSM ambako hata website Ina kwikwi?Kenya university ni kama Makerere au UDsm
you have no idea of what you are saying pal...The guy was a sadist truth be told.I remember him telling me point blank..." I dont deal with undergraduates".Imagine your academic registrar telling you that in your face....may he rest in eternal hell..Na kuna mwingine ako apo Technical University of Kenya pia tabia ni izo....maybe mambo ni tofauti tz but hawa maprof wa huku kwetu husumbua students vibaya sana....Responsible people are the most hated in the society. They blatantly celebrate his demise as though they won't pass away themselves!??? Pathetic stupidity of the worst magnitude!
Nonsense!!! You can be responsible and be loved by the society. Per comments, that guy was not responsible, he was arrogant and mean, using the power he had to serve himself and not humanityResponsible people are the most hated in the society. They blatantly celebrate his demise as though they won't pass away themselves!??? Pathetic stupidity of the worst magnitude!