Kifo cha Odinga kisiasa kinafanana sana na kifo cha Lowassa kisiasa na UKAWA yao feki

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Nairobi, Kenya. Kiongozi mkuu wa chama cha National Super Alliance (Nasa), Raila Odinga amesema atakaa mezani kujadiliana na Rais Uhuru Kenyatta kwa sharti kwamba uchaguzi mpya uandaliwe katika muda wa siku 90 na si vinginevyo.

Odinga ameshikilia kwa kuwa Kenyatta alikataa kufanya mazungumzo kabla ya uchaguzi wa marudio wa Alhamisi iliyopita basi kilichosalia ni hicho.

Akizungumza katika mahojiano na shirika la CCN Ijumaa, Odinga alisema hata kama Rais Kenyatta atatangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi huo wa marudio, kiongozi huyo wa Jubilee hatapata urahisi kuongoza Kenya.

Badala yake amemshauri Kenyatta kujiuzulu kwa sababu ya “idadi ndogo” ya wapigakura waliojitokeza. Alisema uchaguzi ule ilikuwa “kura ya kutokuwa na Imani.”

Alipoulizwa ikiwa mpango wake wa kuanzisha harakati za upinzani kitaifa ilikuwa njia ya kuiswaga serikali ya Kenyatta ijielekeze kumwaga damu, Odinga alisema shughuli ambazo chama hicho kinapanga kutekeleza zimebainishwa ndani ya Katiba.

“Kama unavyojua, Katiba yetu inaruhusu kuweka vigingi, kugoma, maandamano ya amani, kupinga, kususia na mengineyo. Kwa hiyo, tuna njia kadhaa mbadala ambazo ni halali na zipo Kikatiba, ambazo tutazitumia kuongeza shinikizo dhidi ya serikali hii,” alisema.

Maswali:

CNN: Nini kitatokea wiki ijayo matokeo yatakapokuwa yamejumlishwa, matokeo hayo yote yatakapokuwa yametangazwa? Mwelekeo ni kwamba yatampa ushindi wa urais Kenyatta kwa sababu ninyi mmesusa.

Je, wewe na wafuasi wako mtakuwa na nini cha kusema?

Odinga: Huu ni uzandiki kwa sababu, kimsingi umefungua mfuniko kwenye kopo wa kile ambacho Kenyatta amekuwa akidai; kwa sababu ni asilimia 25 tu ya wapigakura ndio walijitokeza Alhamisi.

Hivi sasa wanapika namba ili idadi iongezeke. Lakini kwa mujibu wa mfumo wa KIEMS, uliotumika kutambua wapigakura, waliojitokeza walikuwa 3.5 tu. Idadi hiyo ni asilimia 20 ya waliojiandikisha.

Kimsingi matokeo haya yanathibitisha kwamba watu hawana Imani. Ni kura ya kutokuwa na Imani na serikali ya Rais Kenyatta. Ba endapo ningekuwa mimi, na ninajua demokrasia ilivyo ningejiuzulu au kung’atuka.

CNN: Ikiwa hilo halitatokea na tayari atakuwa ametangazwa rais tena, je wewe na wafuasi wako mtachukua hatua gani? Je, Kenya itaonekana vipi wiki ijayo katika wiki ambayo matokeo yatatangazwa?

Odinga: Tumesema kwamba Katiba yetu, ibara ya kwanza inasema kwamba ikiwa serikali itajitangaza yenyewe kwa watu, basi watu wana haki ya kufanya uamuzi.

Watu watakuwa na haki ya kutotii amri kutoka serikali ya namna hiyo.

CNN: Je, unatarajia kushuhudia maandamano zaidi na machafuko zaidi?
Odinga: Hapana. Hatutaanzisha machafuko kukabiliana na serikali. Tutafanya migomo wala si kwa maandamano bali kwa njia nyingine ambazo tutatangaza Jumatatu.

Tutatangaza mfululizo wa hatua za kuchukua ili kuishinikiza serikali hii kuondoka.
 
Yaani kichwa cha habari nimejikuta nacheka.. kisa kuona jina la Lowassa aliyehaha na bado anatamani sana ila ndio hivyo tena.. sababu siijui ngoja nije nirudi kusoma uliyoandika.
 
Hujasoma historia ya Odinga sr na Odinga jr. Kuna tafauti kubwa kihistoria kati ya siasa za Tz na kenya. Wakenya wako determined katika kufanya siasa na kwa upande wa Tz siasa za vyama vingi ni kwa ajili ya kula ruzuku.
 
Nairobi, Kenya. Kiongozi mkuu wa chama cha National Super Alliance (Nasa), Raila Odinga amesema atakaa mezani kujadiliana na Rais Uhuru Kenyatta kwa sharti kwamba uchaguzi mpya uandaliwe katika muda wa siku 90 na si vinginevyo.

Odinga ameshikilia kwa kuwa Kenyatta alikataa kufanya mazungumzo kabla ya uchaguzi wa marudio wa Alhamisi iliyopita basi kilichosalia ni hicho.

Akizungumza katika mahojiano na shirika la CCN Ijumaa, Odinga alisema hata kama Rais Kenyatta atatangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi huo wa marudio, kiongozi huyo wa Jubilee hatapata urahisi kuongoza Kenya.

Badala yake amemshauri Kenyatta kujiuzulu kwa sababu ya “idadi ndogo” ya wapigakura waliojitokeza. Alisema uchaguzi ule ilikuwa “kura ya kutokuwa na Imani.”

Alipoulizwa ikiwa mpango wake wa kuanzisha harakati za upinzani kitaifa ilikuwa njia ya kuiswaga serikali ya Kenyatta ijielekeze kumwaga damu, Odinga alisema shughuli ambazo chama hicho kinapanga kutekeleza zimebainishwa ndani ya Katiba.

“Kama unavyojua, Katiba yetu inaruhusu kuweka vigingi, kugoma, maandamano ya amani, kupinga, kususia na mengineyo. Kwa hiyo, tuna njia kadhaa mbadala ambazo ni halali na zipo Kikatiba, ambazo tutazitumia kuongeza shinikizo dhidi ya serikali hii,” alisema.

Maswali:

CNN: Nini kitatokea wiki ijayo matokeo yatakapokuwa yamejumlishwa, matokeo hayo yote yatakapokuwa yametangazwa? Mwelekeo ni kwamba yatampa ushindi wa urais Kenyatta kwa sababu ninyi mmesusa.

Je, wewe na wafuasi wako mtakuwa na nini cha kusema?

Odinga: Huu ni uzandiki kwa sababu, kimsingi umefungua mfuniko kwenye kopo wa kile ambacho Kenyatta amekuwa akidai; kwa sababu ni asilimia 25 tu ya wapigakura ndio walijitokeza Alhamisi.

Hivi sasa wanapika namba ili idadi iongezeke. Lakini kwa mujibu wa mfumo wa KIEMS, uliotumika kutambua wapigakura, waliojitokeza walikuwa 3.5 tu. Idadi hiyo ni asilimia 20 ya waliojiandikisha.

Kimsingi matokeo haya yanathibitisha kwamba watu hawana Imani. Ni kura ya kutokuwa na Imani na serikali ya Rais Kenyatta. Ba endapo ningekuwa mimi, na ninajua demokrasia ilivyo ningejiuzulu au kung’atuka.

CNN: Ikiwa hilo halitatokea na tayari atakuwa ametangazwa rais tena, je wewe na wafuasi wako mtachukua hatua gani? Je, Kenya itaonekana vipi wiki ijayo katika wiki ambayo matokeo yatatangazwa?

Odinga: Tumesema kwamba Katiba yetu, ibara ya kwanza inasema kwamba ikiwa serikali itajitangaza yenyewe kwa watu, basi watu wana haki ya kufanya uamuzi.

Watu watakuwa na haki ya kutotii amri kutoka serikali ya namna hiyo.

CNN: Je, unatarajia kushuhudia maandamano zaidi na machafuko zaidi?
Odinga: Hapana. Hatutaanzisha machafuko kukabiliana na serikali. Tutafanya migomo wala si kwa maandamano bali kwa njia nyingine ambazo tutatangaza Jumatatu.

Tutatangaza mfululizo wa hatua za kuchukua ili kuishinikiza serikali hii kuondoka.
Hakuzingatia ushauri wenu? Maana ndo alikuwa chaguo lenu, leo unajificha mgongoni kwa Lowassa ili kurusha madongo. Andikeni sasa barua ya kumpongeza aliyeshinda
 
Odinga ni Kama kina Maalim Seif, kaanza kugombea Urais Kenya baadhi ya Wabunge wetu bado kwny viuno vya baba zao
 
Kimsingi Odinga amefulia.
Aende kwa Maalim Seif ku compare notes!
 
HiviPunde hata aibu huna ? Lowassa mmemzuia hata Mikutano ya Hadhara mnaogopa halafu unadai eti kafilisika?
 
Naamini hayo ndo matamanio yako na mwenyekiti wenu pia.

Mmejaribu kila njia kutaka kuua upinzani hapa nchini, bila mafanikio.
Tena mpaka silaha za moto baada ya kuona zile mbinu nyingine zimeshindwa vibaya, lakini wapi!! Ndo kwanza upinzani unanawiri.

Kwa taarifa yenu tu, hamtafanikiwa kamwe
 
Hawa Kenya wana Katiba mpya je inawasaidia kweli?
Katiba yao inawasaidia sana si unaona kila kitu anachokifanya Odinga Katiba inamlinda,Kila anachokifanya Kenyatta naye katiba inamlinda.

Katiba yao inaloop holes kibao kila mtu mwenye uelewa kidogo wa sheria anaweza kuitumia kufanya atakavyo,Leo Odinga anademand uchaguzi urudiwe tena after 90days atakwambia katiba inamlinda na akipeleka mahakamani huenda akashinda tena.

Katiba yao inaloop holes nyingi hadi panya anaweza pita bila shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom