Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk(Laana za Allah zimshukie)

C

calchooper

Senior Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
143
Likes
99
Points
45
C

calchooper

Senior Member
Joined Dec 27, 2018
143 99 45
Ndio katika hiyo aya mmeambiwa hayo maneno yenu yamewatia katika ukafiri
Jamaa anahoji aya gani ambayo haieleweki?
Kafiri ni mtu anaeibadili Neema ya Mungu kuwa ufisadi kuna watu wanakataa kuokoka Ndio hao. Pia kumpiga Mungu Na mwokozi Wetu Yesu.

Neno Neema hapo humaanisha WOKOVU au Uzima wa milele ambao Mungu ametuletea kupitia Yesu Kristo pekee.

Ndiposa ili uwe na uzima wa milele lazima umjue kwa kumkiri MUNGU na Mwanae Yesu kristo tu.

Hakuna cha Muhammad wala allah wala Krishna hao wote ni upotofu mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,282
Likes
1,807
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,282 1,807 280

Unaongea hivyo kama ulivyojisikia sio?

Mungu gani anaenda chooni kukojoa mkojo na kunya mavi?
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,282
Likes
1,807
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,282 1,807 280
Crumpy Crumper

Crumpy Crumper

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
1,984
Likes
2,261
Points
280
Crumpy Crumper

Crumpy Crumper

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
1,984 2,261 280
Muda mwingine akili za waislam bhana!

what a lovely Day!!
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,282
Likes
1,807
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,282 1,807 280
Sawa lakini kumbuka jehannamu Itanibidi nimejaa nimejaa pindi tu Allah atakapoingiza mguu wake ndani yake.

Vip bado una matumaini Na Allah?

Sent using Jamii Forums mobile app

Na ayah kama hizo Allah ameziweka katika kitabu ili awatikise anaotaka kuwatikisa mfano wewe

Allah sio mtu au kiumbe

Moto ni kiumbe wa Allah, kiasi kwamba huwa anaongea nao kama wewe unavyoongea na binadamu wenzio

Allah anaishi bila kutegemea Oxygen au space, ndio anahifadhi vitu
 
C

calchooper

Senior Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
143
Likes
99
Points
45
C

calchooper

Senior Member
Joined Dec 27, 2018
143 99 45
Yesu Kristo na neno la Mungu vitabu vyote vinajua hivyo

Sasa lile neno la Mungu livae mwili kile kiwiliwili cha kibinadamu sasa ndiposa Anaitwa Yesu soma Yohana 1:1-16
Tupo pamoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C

calchooper

Senior Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
143
Likes
99
Points
45
C

calchooper

Senior Member
Joined Dec 27, 2018
143 99 45
Na Ndio maana Hata sasa yuko hai na atakuja tena.
Sipati picha utakuwa wapi atakapokuja tena Hahahahaha fanya maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C

calchooper

Senior Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
143
Likes
99
Points
45
C

calchooper

Senior Member
Joined Dec 27, 2018
143 99 45
Nijibu swali langu kwako huyo ambae umekubaliana na wenzio kuwa ni mungu , Mungu gani anaenda chooni kukojoa mikojo na kunya mavi
.
Ivi ndugu kuna mwili usiopitia mambo hayo ya kiasili?

Maana ya Neno kuvaa mwili wewe unawlewaje?

Ilikuwa Ni lazima coz yu ktk mwili lakini BWANA Yesu alikuwapo tangu hapo kumbuka alipowajibu wayahudi kuwa yeye alikuwapo Kabla Hata Ibrahimu kuwepo unafikiri alikuwa katika umbile gani?
Yohana 8:58.
Jifunze kumjua Yesu Kama Yesu katu usijifunze Yesu kama issa coz issa si Yesu na kamwe hutamuelewa endapo utamlinganisha na watu wengine.

Ukweli ni kwamba propaganda za ki-Nestori na kiarabu zilimxhafua sana Yesu ila bado Yesu anajiosha mwenyewe kupitia maandiko na zaidi ni pale atakaporudi tena. Cha msingi jiweke tayari tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,282
Likes
1,807
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,282 1,807 280
Ivi ndugu kuna mwili usiopitia mambo hayo ya kiasili?

Maana ya Neno kuvaa mwili wewe unawlewaje?

Ilikuwa Ni lazima coz yu ktk mwili lakini BWANA Yesu alikuwapo tangu hapo kumbuka alipowajibu wayahudi kuwa yeye alikuwapo Kabla Hata Ibrahimu kuwepo unafikiri alikuwa katika umbile gani?
Yohana 8:58.
Jifunze kumjua Yesu Kama Yesu katu usijifunze Yesu kama issa coz issa si Yesu na kamwe hutamuelewa endapo utamlinganisha na watu wengine.

Ukweli ni kwamba propaganda za ki-Nestori na kiarabu zilimxhafua sana Yesu ila bado Yesu anajiosha mwenyewe kupitia maandiko na zaidi ni pale atakaporudi tena. Cha msingi jiweke tayari tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umejibu hoja ?

Hayo maandiko ni kazi ya mikono ya watu walioweka kwenye dini zenu nyinyi na dini ya wayahudi wakasema ni maneno ya muumba ambapo waliweka mambo ambayo yalipendeza nafsi zao wakiwa wameghafilika au wamejighafilisha kuwa dini ni kwa ajili ya Allah aliyewaumba na si kwa ajili ya mapenzi yao
 
Forum statistics

Threads 1,262,068
Members 485,449
Posts 30,112,312