Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk(Laana za Allah zimshukie)


B

Bensonpeace

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Messages
195
Likes
151
Points
60
B

Bensonpeace

Senior Member
Joined Jun 2, 2017
195 151 60
*KIFO CHA MUSTAFA KAMAL ATATURK (Laana za Allah Zimshukie)*

Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za kikafiri Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.

Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.

Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.

Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apiwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.

Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.

Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumkafini

Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima ingemkataa".

*Chanzo:*
Acha fix Mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,282
Likes
1,807
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,282 1,807 280
Nakupa Andiko moja tu, kisha njoo madrasat nuur bahari jannat kwa shehe kidevu ujifunze ilimu ghaibu ndio uje huku! View attachment 1019068

Sent using Jamii Forums mobile app


Wewe na mnaosema hivyo ni makafiri

Quran 5:72 They have certainly disbelieved who say, "Allah is the Messiah, the son of Mary" while the Messiah has said, "O Children of Israel, worship Allah, my Lord and your Lord." Indeed, he who associates others with Allah – Allah has forbidden him Paradise, and his refuge is the Fire. And there are not for the wrongdoers any helpers.
1549827928805-png.1019370
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,282
Likes
1,807
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,282 1,807 280
allah jiamrisha hawa wapigwe!; na hawa wauawe kosa LAO nini?? View attachment 1019115 View attachment 1019130

Sent using Jamii Forums mobile app

Unapoanzisha vita na waislam basi jua na kuimaliza

Kama mwanasuna nimefundishwa kuwa mtu ambae sikutani nae akiwa na Silaha dhidi yangu sitakiwi kumpiga

Haya usingeyauliza na yote ni kwa sababu wewe sio muislam ambapo ungepata fursa ya kupata mafhum ya dini hii, hivi sasa umebaki kuwatengenezea watu mashaka na uislam ambao umekamilika na hauna mashaka mbele yake au nyuma yake

Kama alivyowahi kusema Muhammad swallallahu alayh kuwa anatuacha katika uwanja ambapo usiku wake ni sawa na mchana wake, unaleta illusionary doubts dhaifu sana
 
S

said Nundu JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
306
Likes
155
Points
60
S

said Nundu JR

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
306 155 60
Kiasili Ataturk alikuwa Yahudi, alijipenyeza ktk Uislam Zama za uzorotefu wa Ummah na akafanikiwa kwa msaada wa Wakoloni kuangusha khilafah Uthmaniya(Ottoman Caliphate) na kuasisi Turkey Kama nchi ya kisekula, rasmi mwaka 1924
 
S

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Messages
977
Likes
446
Points
80
S

Somi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2009
977 446 80
Mleta Habari ume kopi na kupesti ila hujui aliyeandika ni Nani sawa? Umeshasikia wapi maiti inakataa kuzikwa?? Taarifa nyingine sio vizuri kukopi na kupesti bila kufikiria kwanza.
 
S

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Messages
977
Likes
446
Points
80
S

Somi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2009
977 446 80
Hii uturuki Ndio Asia ya Kati kwenye Yale makanisa Saba hawa Ndio walorintho, efeso,sardi na Ndio hawa wagalatia. Hata tutegemee mabadiliko Kabla BWANA Yesu hajarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni nchi waliokaa waefeso,wayahudi,Sardi , wagalatia nk hata mtume Paulo ambaye ni myahudi alizaliwa tarso ambayo ni eneo hilo hilo. Waturuki wa Leo asili yao walikuwa wapagani ni wavamizi kutoka khazikistan , Mongolia waliovamia dola ya byzantine iliyoongozwa na wagiriki. Mpaka leo kanisa la orthodox la wagiriki wanatambua uturuki kama sehemu yao na siku ikifika itarudia kuwa sehemu yao. Constantinople(Ankara) uliokuwa mji mkuu wao kuna kanisa kubwa kabisa la ki orthodox Linaitwa hagia Sofia Limejengwa miaka 1500 iliyopita
 
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Messages
5,590
Likes
5,779
Points
280
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2008
5,590 5,779 280
Hiyo haijatoka hizb bana! Lol Ila usiache kutembelea tovuti Kama unataka kupata uchambuzi kwa mujibu wa Uislam.
hizb.info
hizb.org
hizb.or.tz na khilafah.com
Khilafah kwani ipi siku hizi?
 
mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Messages
2,225
Likes
2,636
Points
280
Age
39
mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2017
2,225 2,636 280
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

OK kumbe hata leo viongozi mbali mbali wanakwenda kumzuru atakua amelifanyia taifa la Uturuki maendeleo kiasi anakumbukwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani FIRAUNI hatembelewi?KAIFANYIA NN MISRI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajiru Kanyika

Kajiru Kanyika

Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
39
Likes
42
Points
25
Kajiru Kanyika

Kajiru Kanyika

Member
Joined Nov 28, 2018
39 42 25
A
Mustafa kamal ataturk Allah akubariki wewe pamoja na familia yako milele...
uliona mbali sana....
Asingefanya aliyoyafanya ile nchi extremists wangeiharibu kama Afghanistan au somalia
 

Forum statistics

Threads 1,262,034
Members 485,449
Posts 30,112,086