Kifo cha MTU mmoja kilileta ukombozi Tunisia, Najitolea KUFA ili Tanzania ikombolewe

Najitolea kufa ili Tanzania iondokane na udhalimu.
Naamini damu yangu italeta chachu na ari mpya ya mabadiliko.
CCM lazima ing'olewe madarakani, Kikwete lazima ashitakiwe kwa kukandamiza na kudhulumu haki za msingi za raia wake.
Mama Makinda ana la kujibu kutokana na kulitumia bunge kama kikombe chake cha kunywea kahawa. Amedhulumu mamilioni ya Watanzania haki yao ya kuijadili katiba.
Nayasubiri kwa hamu maandamano yaliyo andaliwa na jukwaa la katiba ili CCM waniue.
Sijali kufa na wala siogopi kufa.
Wazo lako zuri lakini ukifa nani ataongoza CCM wakiondoka hivyo usiwaze kufa waza kuiondoa ccm madarakani harafu wewe uwe kiongozio baada ya mapinduzi ukifa watu wataoga kusonga mbele na CCM wataimalika!!

Mtu asikudanganye Songa Mbele Usiwaze kufa Mungu yupo upande Wako!!
 
Haya mambo ya kufa kwa faida ya wengine aliyaweza Bwana Yesu tu, wakafuata wapalestina.
Sisi wengine huku Tanganyika naona kama tunadanganyana tu wakuu!!!!
Anyway, lete mipango tuione
 
Back
Top Bottom