Kifo cha MTU mmoja kilileta ukombozi Tunisia, Najitolea KUFA ili Tanzania ikombolewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha MTU mmoja kilileta ukombozi Tunisia, Najitolea KUFA ili Tanzania ikombolewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Nov 15, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Najitolea kufa ili Tanzania iondokane na udhalimu.
  Naamini damu yangu italeta chachu na ari mpya ya mabadiliko.
  CCM lazima ing'olewe madarakani, Kikwete lazima ashitakiwe kwa kukandamiza na kudhulumu haki za msingi za raia wake.
  Mama Makinda ana la kujibu kutokana na kulitumia bunge kama kikombe chake cha kunywea kahawa. Amedhulumu mamilioni ya Watanzania haki yao ya kuijadili katiba.
  Nayasubiri kwa hamu maandamano yaliyo andaliwa na jukwaa la katiba ili CCM waniue.
  Sijali kufa na wala siogopi kufa.
   
 2. February

  February Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ushaandika wosia?
  Be strategic ndugu yangu usije ukafa afu familia hujaitengenezea mazingira ya kuishi baada ya wewe, unafanya mchezo na kifo wakati hujui unaenda wapi ukishakufa? Tafadhali tafadhali, usijesema sikukwambia!
   
 3. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Huu ni mwanzo mpya, pamoja tunaweza kuing'oa kuleta mabadiliko
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,383
  Trophy Points: 280
  askari haangalii nyuma, usikatishwe tamaa na maneno ya watu. Tangulia nasi tunafuata.
   
 5. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Natamani maandamano ya Dar yaanzie magogoni pale pale nyumbani kwa jey key.
   
 6. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,482
  Likes Received: 10,709
  Trophy Points: 280
  mtoto acha kupiga mayowee...
  kama una guts nenda dodoma mbele ya viwanja vya bunge ukajilipue!otherwise usitupigie kelele.
   
 7. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,353
  Trophy Points: 280
  Jichome moto basi..hafu sisi tutafuata.
   
 8. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  usife mwenyewe mkuu! hakikisha umekufa na gamba moja au mawili makuu mkuu!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mke wako utamuachia nani?
   
 10. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  'Bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti'.
   
 11. Edmond

  Edmond JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tangulia ndugu yetu, nasi tuko nyuma yako, ushauri wangu vaa mabomu halafu nenda kama vile una mpa Hi spika, ili utuondolee huyo mtu
   
 12. M

  MyTz JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hahahahahahahahah...
  gamba moja au ....
   
 13. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  hivi ccm haioni kuwa wananchi wameichoka? Kikwete anangoja nini kujiuzulu?
  Mwinyi alipigwa vibao akiwa amestaafu, kikwete atapigwa akiwa madarakani
   
 14. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Ungekuja mbeya tarehe 11/11/11 tungekuamini (hebu tupotezee mbali)
   
 15. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  wanaume, kina kaka na kina baba, wanawake tuko tayari kulala barabarani, hata kupata mateso ya kupakwa pilipili huku chini. Je kina baba mko tayari kutupa support kwa kulala barabarani? Msiyaogope maji ya upupu. Tuungeni mkono. Huo mwezi ujao mtaona jinsi wanawake tutakavyo onyesha dunia kuwa tunaweza kuleta mabadiliko.
   
 16. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  A quiet tongue shows a wise head. GO AHEAD!
   
 17. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  The frog likes water, but not when its boiling!
   
 18. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  mmegeuza jukwaa la harakati ulingo wa taarab!!!!
  Ccm msitake kupoteza mwelekeo wa hii thread
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  R.I.P mkuu!
   
 20. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Tumekaa kimya muda mrefu sana, and now its a time to act
   
Loading...