Hapa nakubaliana na wewe, na hivi ndivyo nilivyokujua siku zote-a clearly minded person. Sasa sijui huyu shetani kakuingiaje leo kiasi kwamba unaongea ongea so loosely, hebu jirudi haraka tusije tukakuweka kundi moja na akina Magabugabu!!
Kitila,
Mimi ni kama namfahamu MkamaP, sio CCM kabisa ila baadhi ya mambo na matusi yanayoandikwa na vijana wa CHADEMA hapa yanawafanya watu wengine wachukue upande wa pili ili kuleta balance.
Japo wengi wao si ajabu hata si wanachama wa CHADEMA, lakini comments zao zinaweza kuwakosesha CHADEMA wanachama na viongozi wa baadaye.
Ukiwa nje na ukasoma baadhi ya comments hizo, inatisha. If you can't stand the heat, stay away from the kitchen, wengine tunafuata ushauri huo.
MkamaP, sio lazima ujibizane nao muda wote, wakati mwingine silence ni panga kubwa kuliko mistari kibao ya mabishano.