Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Mpaka sasa ni kuwa RPC amemwambia Mbowe asiwepo Tarime ,eti usalama wake utakuwa mdogo na wanamlazimisha asiwepo japo najaribu kuwatafuta waliopo huko kuweza kunipa yanayojiri ila naona hawapatikani.

Mwenye simu ya RPC wa Mara anitumie kwenye PM nami ntaanza kumhoji tafadhali.
 
I guess it's human nature.......

I can't wait for the day when you (Mwanakijiji) die (knock on wood)....not that I 'm wishing you death but all the conspiracy theories and the sensation that will follow afterwards....

mmh... you never know.. It could have happened yesterday... and each one of us is only a second away from death. So uombee mimi nitangulie.
 
Mkamap.. sasa na wewe mbona unachekesha; huyo kijana si ametoka Chadema na imedaiwa alikuwa ni mwanachama or in one way or another amekuwa karibu na Chadema. Sasa huko siyo kuanzia miguuni; au unaposema Chadema unasema kitu kingine? Na kuhusu kukorogana don't be too sure kuwa Wangwe alikuwa amekorogana na Chadema tu; believe me ukizungumzia "most recent"... it is not Chadema.

Naongelea kuhusu mtu anaye ongoza gari akisababisha kifo mara nyingi mwanzo hutake advantage ya aliyekufa kumsingizia harafu baadae akitulia hua anakili kosa ndio nikasema kwa hilo sio tatizo.

Well : Na kijana huyu kama anatoka CHADEMA ndio mwanzo mzuri kabisa kwanza huyu kijana kama ametekeleza hilo basi atakua ametumwa na bosi ama mabosi humo ndani ya CHADEMA .ama wengine

Huyu jamaa kama angekua amekosana kwa lolote lile yani haziivi na RIP Chacha asingepanda gari moja hilo ni Obvious.

Ndiyo ninasema kama chacha kauawa nje ya ajali la gari Mshukiwa nambari moja ni CHADEMA ndipo paanze kumlikwa tochi.Ofcourse mshukiwa si lazima awe muharifu.
 
Mpaka sasa ni kuwa RPC amemwambia Mbowe asiwepo Tarime ,eti usalama wake utakuwa mdogo na wanamlazimisha asiwepo japo najaribu kuwatafuta waliopo huko kuweza kunipa yanayojiri ila naona hawapatikani.

Mwenye simu ya RPC wa Mara anitumie kwenye PM nami ntaanza kumhoji tafadhali.

Huyo RPC anataka picha gani ijengeke? Kwani hakuna polisi wa kutosha kutoa ulinzi? Huyu asituletee upuuzi wa kutaka kupandikiza propaganda kisaikolojia ktk vichwa vya watu hapa.Afanye kazi aliyotumwa kwanza kabla ya kutoa maonyo ya kukwepa wajibu wake kama polisi.
 
Tatizo lako katika line of your thinking unashindwa kuuliza nani atanufaika sana na kifo cha Wangwe hasa katika mazingira hayo? Obviously siyo Chadema. Kwa sababu kwa wao walikuwa na uwezo wa kumfukuza uanachama na kumuondoa kwenye picha. Kuna mtu ambaye atanufaika na Chacha kutokuwa mbunge wa Tarime; and believe me, siyo Chadema. Think about it. Na inawezekana siyo CCM. Ukiondoa mawazo ya vyama vya kisiasa you might get real close na ukweli wenyewe. Haya mawazo ya Chadema na CCM yatapoteza muda sana.
 
kwa kuanzia tu, huyu kijana watu wengi wa chadema na ndugu na marafiki za Wangwe hawamjui. Bado hakuna uthibitisho kama hilo ni jina lake la kweli na kama ni mwanachama wa ccm, cuf, chadema au TLP. Hakuna anayejua kwa sasa. Hapa Tarime asilimia 99 ya watu hawamjui huyu Mallya na kuna tetesi kuwa hilo si jina lake la kweli.
 
Huyo RPC anataka picha gani ijengeke? Kwani hakuna polisi wa kutosha kutoa ulinzi? Huyu asituletee upuuzi wa kutaka kupandikiza propaganda kisaikolojia ktk vichwa vya watu hapa.Afanye kazi aliyotumwa kwanza kabla ya kutoa maonyo ya kukwepa wajibu wake kama polisi.

Polisi wengine kama huyu huwa wanakosea sana kazi zao kwenye masuala muhimu kama haya. Hata ukijiuliza lile swala ambalo mwanzoni polisi walitaka kuzuia wananchi wa Tarime wasiuone mwili wa Chacha eti kwa vile kuna fujo inaweza kutokea.

Mambo mengine yanakuzwa tu bila sababu ya msingi. Mimi na hakika kuwa hata wale wabunge na viongozi wa serikali waliokimbia Tarime bila hata kutoa maoni au rambirambi zao eti kwa kuhofia maisha yao wameshauriwa vibaya. Kazi ya polisi kwenye matukio kama haya ni kulinda usalama wa watu kama hawa.
 
Tatizo lako katika line of your thinking unashindwa kuuliza nani atanufaika sana na kifo cha Wangwe hasa katika mazingira hayo? Obviously siyo Chadema. Kwa sababu kwa wao walikuwa na uwezo wa kumfukuza uanachama na kumuondoa kwenye picha. Kuna mtu ambaye atanufaika na Chacha kutokuwa mbunge wa Tarime; and believe me, siyo Chadema. Think about it. Na inawezekana siyo CCM. Ukiondoa mawazo ya vyama vya kisiasa you might get real close na ukweli wenyewe. Haya mawazo ya Chadema na CCM yatapoteza muda sana.

wenye akili zetu tumeshakuelewa, ni kutumia tu elimination method kujua kimebaki kipi!

Lakini haya ni matokeo ya kudharau wosia wa JKN! Tumewakaribisha wakati usio muafaka, wamenogewa, hawatak kuambiwa 'baasi jamani ebu muwaachie watoto kidogo'
 
Watu hawajui hata formula za Calculas.Aliyefundisha milinganyo aliwaelewesha watu vibaya
 
Tenda haki. Kama unaweza kusema tuanzie Chadema, ndio unatuambia uchunguzi ufanyike, ili kama ni Chadema, CCM ijulikane. Lakini kumbuka Chadema, CCM, Polisi, Usalama, JWTZ kama taasisi haziwezi kuua, wanaoweza kuua ni watu ndani ya taasisi hizo. Tumewahi kusikia polisi, wanajeshi wakihusika na uhalifu, juzi mwanajeshi kaua mkewe, halafu tumesikia wanajeshi wamekamatwa na mitambo ya gongo, tukasikia, kiongozi wa CCM kakutwa na nyara za serikali, tukasikia wabunge wa CUF wamefoji document kusafirisha vimada, tukasikia kuna viongozi wa Chadema ni majambazi, huko Tarime kuna wana Chadema ni wahalifu. Uhalifu upo sehemu yoyote hata humu JF kuna wahalifu na watu wanaolipwa kuandika tofauti na wengine wanaoandika kwa kuwa ni sehemu ya "kiburudisho" cha maisha yao. Tusibadili muelekeo, TUTALAANIWA. Ingekua Waislamu, angekwisha kuwa amezikwa pale pale Dodoma juzi Jumanne, tena baada ya adhuhuri. KWa sisi kuchelewa kuzika na kunyanyasa maiti ni jambo la kawaida haswa sisi watu wa bara

Ukiamua mtafuta nyoka chini ya uvungu wako lazima uanze kupiga tochi mguuni mwako.

Leo hii ndio unatambua kua CCM ni taasisi ya kwamba CCM kama CCM haiwezi kukolimba mtu,CCM kama CCM haiwezi kua fisadi ,Hizi double std zenu sio sitahiki.

Hata hivyo kama RIP CHACHA kafa nje ya ajali ya gari Mshukiwa namba moja wa kufanyiwa uchunguzi ni ndani ya CHADEMA.

Maji ktk ndoo hua yananjaa toka chini japo yamiminwa toka juu.Mtu akikutwa kafia karibu na nyumba yako wewe ndio utaanziwa kufanyiwa uchunguzi.Uchunguzi kama utakuwepo lazima uanzie ndani ya CHADEMA ambako ndani huko CHACHA alikuwako
 
Mzee Gachuma, mjumbe wa NEC ya CCCM na mtu mashuhuri Mara na MWanza, amelalamika kuondolewa katika kiti, baada ya kuonekana CCM wanataka kutumia msiba kama jukwa la kisiasa. Watu wa Mara ni wakweli na wawazi na kwamba pamoja na tofauti zao za ndani ya Chadema, wamemuita Mbowe RAIS, RAIS, RAIS!!!! amepishwa katika kiti na alitakiwa kuzungumza, viongozi wenzake wakamzuia
HII NIMEIPENDA SANA!
Heshima yangu kwa watu wa Tarime imeongezeka maradufu, maana pamoja na propaganda za baadhi ya vyombo vya habari wamesimama kwenye ukweli.
Nilipoona TBC 1 wamelivalia njuga suala la msiba huu kwa namna isiyokuwa ya kawaida nilihisi kuna jambo. Bahati Tarime hawahadaiki.
 
Ukiamua mtafuta nyoka chini ya uvungu wako lazima uanze kupiga tochi mguuni mwako.

Leo hii ndio unatambua kua CCM ni taasisi ya kwamba CCM kama CCM haiwezi kukolimba mtu,CCM kama CCM haiwezi kua fisadi ,Hizi double std zenu sio sitahiki.

Hata hivyo kama RIP CHACHA kafa nje ya ajali ya gari Mshukiwa namba moja wa kufanyiwa uchunguzi ni ndani ya CHADEMA.

Maji ktk ndoo hua yananjaa toka chini japo yamiminwa toka juu.Mtu akikutwa kafia karibu na nyumba yako wewe ndio utaanziwa kufanyiwa uchunguzi.Uchunguzi kama utakuwepo lazima uanzie ndani ya CHADEMA ambako ndani huko CHACHA alikuwako

Wewe unadai kuwa ni mtu wa Tarime wakati maandishi yako hapa yanaonyesha kabisa kuwa hujali feelings za watu wa Tarime bali unataka kupata pointi kisiasa.

Ondoa siasa kwenye kifo cha Wangwe, wamejaribu TBC1 na magazeti ya Rostam wameshindwa. Kuna mengi inabidi yajulikane sasa hivi na sio pointi za kisiasa kwenye msiba mkubwa kama huu.

Shame on you.
 
HII NIMEIPENDA SANA!
Heshima yangu kwa watu wa Tarime imeongezeka maradufu, maana pamoja na propaganda za baadhi ya vyombo vya habari wamesimama kwenye ukweli.
Nilipoona TBC 1 wamelivalia njuga suala la msiba huu kwa namna isiyokuwa ya kawaida nilihisi kuna jambo. Bahati Tarime hawahadaiki.

Special mission na haswa Marine Hassan Marine ndio kapewa jukumu la kuuhadaa umma wa watanzania na wana wa Tarime, eti ni kwanini Mbowe alimshinda Kikwete kwenye kura za Urais Wilaya ya Tarime.
 
Nawashauri CHADEMA kama mpo hapa mhakikishe kuwa mnashiriki kwenye huo uchunguzi ambao utafanywa na huyu Daktari kutoka Kenya kwani bila kufanya hivyo hiyo inaweza ikawa ni jambo jingine .

Nawapongeza CHADEMA kwa kiumwandikia IGP na kumtaka ahakikishe kuwa anafanya uchunguzi wa kina kwenye hilo hii inatakiwa kuwa hivyo,kwani kama mnasema hamhusiki basi waambieni wao Polisi na watawala wafanye uchunguzi kuujua ukweli uko wapi.
 
Mpaka sasa ni kuwa RPC amemwambia Mbowe asiwepo Tarime ,eti usalama wake utakuwa mdogo na wanamlazimisha asiwepo japo najaribu kuwatafuta waliopo huko kuweza kunipa yanayojiri ila naona hawapatikani.

Mwenye simu ya RPC wa Mara anitumie kwenye PM nami ntaanza kumhoji tafadhali.

Kiranja,
Ni kweli Mbowe sasa hivi yuko Musoma mjini.
 
Tatizo lako katika line of your thinking unashindwa kuuliza nani atanufaika sana na kifo cha Wangwe hasa katika mazingira hayo? Obviously siyo Chadema. Kwa sababu kwa wao walikuwa na uwezo wa kumfukuza uanachama na kumuondoa kwenye picha. Kuna mtu ambaye atanufaika na Chacha kutokuwa mbunge wa Tarime; and believe me, siyo Chadema. Think about it. Na inawezekana siyo CCM. Ukiondoa mawazo ya vyama vya kisiasa you might get real close na ukweli wenyewe. Haya mawazo ya Chadema na CCM yatapoteza muda sana.

Taarime naijua vizuri
Hakuna mwingine zaidi ya hao atayenufaika na kifo cha CHACHA ,Labda uniambie kama kuna mtu mwingine anataka kuchukua Ubunge wa TAARIME.

Taarime hua wanaamua kumweka mtu wanayemtaka na ndio maana ni halimashauri hiyo tu ambayo CHADEMA inaongoza na kwanini isiwe DODOMA, DAR, Shinyaga,Kigoma,Karatu ,singida ama Moshi?

Ni kwasababu watu wa taarime wameamka na wanatambua nini wanachotakiwa kufanya .Ni bahati ya CHADEMA baada ya RIP chacha kuingia chadema watu waliowapenda nao walienda chadema.

Hivyo nakuambia watu wa Taarime bado wataleta mtu mwingine kama CHACHA ama zaidi,maana wao wanamleta wampendaye hivyo kama kuna mtu anategemea uhauheni ktk hilo amekosea na bahati nzuri kila mmoja analitambua hilo vyema.
Ndio maana % ktk hilo yani mtu aliona kumutosa CHACHA ndio suluhu nalipa 0.1%.

Miguuni kwa CHACHA kulikua CHADEMA lazima tochi hilo lipigwe kuanzia hapo no way out.
 
Tatizo lako katika line of your thinking unashindwa kuuliza nani atanufaika sana na kifo cha Wangwe hasa katika mazingira hayo? Obviously siyo Chadema. Kwa sababu kwa wao walikuwa na uwezo wa kumfukuza uanachama na kumuondoa kwenye picha. Kuna mtu ambaye atanufaika na Chacha kutokuwa mbunge wa Tarime; and believe me, siyo Chadema. Think about it. Na inawezekana siyo CCM. Ukiondoa mawazo ya vyama vya kisiasa you might get real close na ukweli wenyewe. Haya mawazo ya Chadema na CCM yatapoteza muda sana.

Chadema hao hao walisema kuwa Wangwe ni mzigo ndani ya chama ina maaana alikuwa LIABILITY hakuwa ASSET, walikuwa wanatafuta timing ya kuutua mzigo kauli hizo zimetolewa na waandamizi wa Chadema.

kuna mtu maarufu chadema alisema kuwa Chadema sio kama ccm inayolea mafisadi ndio maana wamemnyanganya umakamu mwenyekiti akamalizia kwa kusema ni maamuzi mazito ambayo ni unpopular kwa manufaa ya Chadema.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa alisema hayuko tayari kufanya kazi na Wangwe,kama ni mtu muhimu ndani ya Chama na mbunge anayethaminiwa,mbowe asingesema hayo,
sawa na JK aseme kuwa siko tayari kufanya kazi na ANNA KILANGO halafu utokee msiba wa KILLANGO waje wana CCM na kusema Kilango kahujumiwa na CUF, nadhani polisi wangeanza kufutilia kauli hizi za ajabu ajabu toka kwa waandamizi wa Chadema.
Chacha Wangwe alitangaza vita na wahafidhina wa Chadema na kuahidi kuwa atashinda uenyekiti wa Chadema Taifa na kufuta ukabila na udini ambayo ni kansa mbovu ndani ya Chadema,
alisema na kukwambia Mwanakijiji kuwa HADI DEREVA MAKAO MAKUU YA CHADEMA ni mchagga na mama KOMU kila kukicha anazaa watoto wachagga,

unafikiri kama Mbowe alisema hayuko tayari kufanya kazi na Mbowe na kumzushia kuwa anakigawa chama na anauza siri kwa CCM, nadhani wa kushikwa uchawi kwa kifo cha Wangwe ni yule mwenye siri zake ambaye hataki CCM wasijue, kwa CCM walimuhitaji sana ili wajue siri za Chadema na Mbowe alikuwa na hofu kubwa siri yake isitoke nje.
Mbowe kumtumia Mnyika kuandika barua haraka haraka kwa IGP haisaidii kuwazuga polisi wasifanye kazi yao kitalaam na kuvifuatilia vyanzo vilivyo MMBOWESHA mpiganaji Wangwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom