William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Ndio maana jana nilisema kuwa kuna maneno mengi sana kuhusu hii ajali, naona kabla ya mazishi tayari zimeanza, kweli hili ni balaa!
b. Kama maelezo kuwa kichwa cha Wangwe kiliharibiwa sana hadi kushindwa kutambulika kuwa ni Wangwe; na kama Malya alikuwa amepoteza fahamu kwa muda hadi "vibaka" wakaja kukusanya masanduku, laptop n.k na kutokomea navyo;
i. Nani alimtambua Wangwe (kama kichwa chake kiliharibika vibaya?)
ii. Nani aliyepiga simu mwanzoni kutoa taarifa ya ajali? haiwezekani kuwa ni Malya..
iii. Mtu huyu aliyepiga simu alisema "nani kapata na ajali" kama alisema ni Wangwe angalia (i) ina maana aliweza kumjua mara moja licha ya kichwa kuharibika.
iv. Sijui voucha zinatumikaje kwenye simu; unaiingiza pale unapoinunua au unaweza kuingiza wakati unataka kutumia simu? Nani aliyekuwa anaendesha gari wakati wa kununua voucher na wakati wa ajali pamoja na commotion yote hiyo Malya aliweza vipi kupata simu yake, na voucher (assuming haikuwa tayari imeingizwa kwenye simu) ukizingatia na yeye alikuwa ni mhanga wa ajali.
Swali hili ni la Omar Mganga, nani aliyempigia simu kuwa kumetokea ajali na nani alimtambulisha kuwa aliyefariki ni Chacha Wangwe?
v. Hiyo Cliniki ya karibu hapo huwa inakuwa na gari la wagonjwa masaa 24? Na polisi wanakuwa eneo la Pandambili usiku huo kwa kawaida au walikuwa assigned kuzunguka eneo hilo wakati huo? Nina maana it is too coincidental kuwa na ambulance karibu, polisi karibu, simu karibu n.k
vi. Simu ya Wangwe imekuwa recovered? I would like to know the last call that went to that phone not the one that went from it.
Napata shida kidogo kuelewa kama Malya alikuwa alert au amepoteza fahamu, maana katika mahojiano yake hapo chini yanaonyesha alikuwa na fahamu na kuweza kuelewa mara moja nini kimetokea punde tu walipopata ajali....kuna utata hapa kwenye maelezo ya huyo Malya!!
Quote:
Speaking to reporters who paid him a visit at the hospital, Malya said Wangwe told him to move to the back seat to rest.
``� cannot forget what took place at the scene (of the accident). I don't believe that I have escaped death and I am still alive,`` he said.
``I was seated in the front seat and was dozing off before the accident, but he advised me to move over to the back seat because it was not safe where I was seated,`` he said.
Malya said they stopped over on the way to buy recharge vouchers before they proceeded with their journey.
``We were at Pandambili when I heard a great bang and saw a cloud of dust. It is then that I realised that the car`s tyre had burst. The vehicle was engulfed in dust. Wangwe moved from where he was seated to the place where I was with his head touching my legs. His seat had squeezed me as my seat belt was tight,`` he explained.
He said by the time he wanted to see more on what had taken place, he realized that Wangwe's head had sustained a fracture and a lot of blood was coming out.
``My body was soaked in blood, but that blood was not mine but Wangwe`s,`` he said.
Commenting on Malya`s condition, Dodoma Regional Medical Officer Dr Godfrey Mtei said it was improving, adding that he was still undergoing treatment.
source; http://www.ippmedia.com/ipp/guardian...30/119515.html
Something is fishy here?Why Did Mallya take the car to the garage?This must be heavily checked and what was actually wrong with the car as well as his past connections with any govt leaders and wether he had any fishy dealings with either any big top either with the rulling party or Chadema.
That is to say he holds the mystery to this accident.
Mallya hakupoteza fahamu .hicho ndicho kinatia shaka zaidi,maana mara nyingi ajari ikitokea huwezi chunguza nini na kipi na kwanini .
CHADEMA hao wanataka kujivua wao lawama na kupeleka kwa wengine.
Waacheni polisi wafanye uchunguzi wao bila kuingiliwa na wanasiasa.
Hiyo ni ajali tu na sidhani kama kuna mkono wa mtu yeyote.
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza hapo, je dereva alifunga mkanda? Kwanini madereva TZ hawapendi kufunga mikanda?
Tutaendelea kutafuta wachawi kwenye vifo vya ajali na kuacha sababu za msingi ambazo zinajulikana na tunashindwa kuzifanyia kazi.
Na kwa nini akae kiti cha nyuma wakati watu wako wawili kwenye gari na hilo pia litajulikana.
...duuuh!
huyo jamaa (Malya) akiyasikia yanayosemwa na wananchi 'naona' atawish tu bora naye angekufa kuliko anavyoonekana amekula njama za kumuua Mheshimiwa!
scenario 2; Hivi angekufa Malya, Chacha Wangwe atoke unscathed, hadithi ingekuwaje?
Kumbe ndio maana VIPs Mh.Mudhihir, na Mh.Prof Kapuya hawana hatia kwenye ajali zao eeh?
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
CHADEMA hao wanataka kujivua wao lawama na kupeleka kwa wengine.
Waacheni polisi wafanye uchunguzi wao bila kuingiliwa na wanasiasa.
Hiyo ni ajali tu na sidhani kama kuna mkono wa mtu yeyote.
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza hapo, je dereva alifunga mkanda? Kwanini madereva TZ hawapendi kufunga mikanda?
Tutaendelea kutafuta wachawi kwenye vifo vya ajali na kuacha sababu za msingi ambazo zinajulikana na tunashindwa kuzifanyia kazi.
...duuuh!
huyo jamaa (Malya) akiyasikia yanayosemwa na wananchi 'naona' atawish tu bora naye angekufa kuliko anavyoonekana amekula njama za kumuua Mheshimiwa!
scenario 2; Hivi angekufa Malya, Chacha Wangwe atoke unscathed, hadithi ingekuwaje?
Kumbe ndio maana VIPs Mh.Mudhihir, na Mh.Prof Kapuya hawana hatia kwenye ajali zao eeh?
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.