Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Mosi kilinifundisha aina ya serikali za kiafrica....juu ya upinzani.
Pili kilinifundisha zaidi juu ya watanzania...
Kiukweli nilipata somo kubwa baada ya kifo cha alphonce mawazo.Ambaye sikuwahi kukutana nae wala kuonana nae uso kwa uso ila nilimfatilia sana na nilimuelewa kiasi chake...pamoja kumfahamu kwa muda mfupi tofauti na viongozi wengine waandamizi wa chadema lakini ningeamka na kusikia kawa mwenyekiti wa chama au katibu mkuu nisingeshtuka na nilimtabilia makubwa sana....pamoja na CV yake na uwezo wake wa kujenga hoja....kujituma usiku na mchana...kuhamasisha na kujitoa kwa hali na mali bado aliuwawa kwa kifo cha kutisha. Watanzania kama kawaida yetu tulimzika tena kwa mtutu wa bunduki hadi kesi mahakamani ili mwili uagwe kwa heshima....
Ni kipindi ambacho nilielewa serikali yetu.
R.I.P kamanda mawazo