Kifo cha Mandela ni pigo wa wakoloni na si kwa waafrika

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,386
1,225
Mandela hakuwakomboa weusi wenzake bali aliwasaliti
kwani weusi wenzake hawajapata tarajio lao hata moja na makaburu hawajapungukiwa na chembe bali maslahi yao ndio yamezidi tena katika mazingira mwanana ya kuonekana si wavamizi.
Kifo cha mandela ni pigo kwa wakoloni na si kwa waafrika.
 
Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,703
2,000
wazalendo wa kweli afrika walibaki wawili tu ambao wadhungu wenyewe walikuwa wanaogopa kuropoka na kufanya ujinga wao
1.Mandela

2.Mugabe t h e jembe
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Mandela hakuwakomboa weusi wenzake bali aliwasaliti
kwani weusi wenzake hawajapata tarajio lao hata moja na makaburu hawajapungukiwa na chembe bali maslahi yao ndio yamezidi tena katika mazingira mwanana ya kuonekana si wavamizi.
Kifo cha mandela ni pigo kwa wakoloni na si kwa waafrika.Umeipata HIYO WAPI wewe MTANZANIA? Kweli Ina Maana wewe Mweusi ukitembelea AFRICA ya KUSINI UNAPEWA MISUKOSUKO na UBAGUZI?

Na Kama kweli aliwasaliti Waafrika Wenzake kwanini kwa Mamilioni walihudhuria Mazishi yake?

Kwanini MWEUSI KAMA WEWE UNAPINDISHA HABARI? Unaweza kuyasema hayo yapi ALIYOWASALITI?

SHAME on YOU... Inaonyesha JINSI GANI ELIMU YETU HAPA NCHINI Inavyodidimia... Unatoa HOJA hauwezi kuilinda kwa kutoa sababu Mwanana... ila tu unaacha issue in a suspense to confuse others...
 
JUGO

Member
Oct 10, 2013
87
125
Mandela hakuwakomboa weusi wenzake bali aliwasaliti
kwani weusi wenzake hawajapata tarajio lao hata moja na makaburu hawajapungukiwa na chembe bali maslahi yao ndio yamezidi tena katika mazingira mwanana ya kuonekana si wavamizi.
Kifo cha mandela ni pigo kwa wakoloni na si kwa waafrika.

Poor analysis I
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom