Kifo cha Magufuli kimeiweka pabaya CCM kama itashindwa kuendeleza kazi aliyoanzisha

Upinzani hauhitaji kuwa na nguvu kushinda uchaguzi na uzoefu unaonyesha hivyo, tumeliona hili ktk mataifa mengi.

Watu wanapokuwa wamekichoka chama kinachotawala upinzani wa aina yoyote hushindia kama tume iko huru na hili tunaliona hata hapa jinsi ccm inavyohangaika wakati wa uchaguzi.

Kama tutaendelea na tume hii ya ccm ni wazi kwamba watatangazwa washindi katika kila uchaguzi hata wakisimamisha visiki kama wagombea wao.
 
CCM itaendelea kupata mapigo mazito hadi watubie dhambi ya kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
 
Back
Top Bottom