Kifo cha Leopold Lwajabe dhidi ya uongo wa Mambosasa: Aibu dunia nzima "skunk of the world"

kamanda kaongelea mengi sana kuhusu marehemu ila hajaongelea ni nani waliomteka au kama kuna uchunguzi gani unaendelea kuwatafuta watekaji ambao wamekua ni usumbufu sana na wanaleta hofu kubwa kwa wananchi,wao kama wanaopaswa kulinda usalama wa raia ingependeza walimulike hili na kuwabaini watekaji.
Nani walimteka marehemu?ni swali muhimu zaidi hata ya kujua wosia wa marehemu.
 
Damu isiyo na hatia ni hatari mno! Soma hii kutoka ufunuo uone hizi roho zinamuomba nini Mungu. Fanya lolote lakini si kumwaga damu makusudi ( Wakatoliki wataelewa zaidi maana wengine wanaamini mtu akifa amekufa si hai hadi ufufuo au mfu hawezi kuomba). Soma hapa chini ...

Na alipoifungua muhuri ya tano, nikaona chini ya madhabahu roho zao waliochinjwa kwa ajili ya neno la Mungu, na kwa ajili ya ushuhuda waliokuwa nao.

Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, Mwenye kweli, hata lini kutokuhukumu, wala kuipatia haki damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?

Ufunuo wa Yohana 6:9-10

Mungu amlaze pema ndugu yetu na kama upo mkono wa mtu kwenye hili basi sisi wala hatuna haja ya kuhangaika, roho yenyewe tayari inadai haki yake mbinguni kwa walio juu ya nchi.
 
Mbaya sana na inasikitisha sana kuona haya yanatokea TZ inayaojinasibu na utawala bora. na viongozi bora kuwahi kutokea nchi hii
it is real very sad sad and sad
 
We jamaa bado unakomaa na mabaunsa??Hivi ukielekezewa bomba ukaambiwa ingia kwenye gari,utagoma?Kiulaini tu unabebwa!
Sasa katika mkutada huu hapo imetumika authority ya yule mtoto wa kindergarten au force kwa wale walioenda jando.
Na hiyo bastola au silaha iliyotumika alikuwa kaishika Katibu Mkuu , na walikuwa wa wawili tu? ? Utoto we mtoto. .....
 
watekwaji wengi hufir.wa na kurekodiwa baada ya hapo hutishiwa ukisema tu tunaivujisha
sasa hiyo doti umeweka ya nini,mbona neno bado ni kali,hujaficha kitu,nadhani ulitaka kutumia doti kuficha herufi furani lakini hujafanya kitu
 
Sasa katika mkutada huu hapo imetumika authority ya yule mtoto wa kindergarten au force kwa wale walioenda jando.
Na hiyo bastola au silaha iliyotumika alikuwa kaishika Katibu Mkuu , na walikuwa wa wawili tu? ? Utoto we mtoto. .....
Ndo maana nakushangaa unaposema mabaunsa,kwasasa nashauri watz wajikamue wamiliki silaha,wakija watu hawaeleweki wanakuvizia unawawashia moto tu kama Peter Zakaria,pengine leo angekuwa kashatangulizwa kama asingejitetea!
 
Nchi imekabidhiwa kwa wapumbavu, wajinga na washamba.


Mkapa na Kikwete mizigo yote hii inayowatokea waTZ wasiokuwa na hatia hakika wataibeba
Sijui tu,,ila nataman wataalamu wa jadi haswaa wanaofahamika waingilie hili swala,waliohusika wote wawehuke ama watembee uchi nchi mzima tuwajue! Shenzy zao wahusika....hii nchi sasa inaogopeka mno
 
Kuna watu walitoka kigoma wakaja kujiulia dar muulize huyo uliye m copy toka instagram
Mmekula kuchwa chake,hilo liko wazi!Awamu hii itakapofika na ajaye akiamua kushughulikia hizi kesi,kuna watu wataishia jela!!!
Mauwaji na kutekana awamu hii imeshamiri sana!!!Utawala wa damu!
 
sasa hiyo doti umeweka ya nini,mbona neno bado ni kali,hujaficha kitu,nadhani ulitaka kutumia doti kuficha herufi furani lakini hujafanya kitu
We ni mgeni JF, kuna maneno yakiandikwa hayatokei yanaonyesha star jaribu kuandika **** uone kama litatokea.
 
190 Reactions
Reply
Back
Top Bottom