Mitandao yote na kila kona watu wanalia au tunalia kifo cha Jaji Regina Reyemamu.
Hutokea kwa nadra sana jaji akifariki halafu umma wote usikitike kw sauti moja kama inavyotokea leo kwa Jaji Rweyemamu.
Hii ni uhibitisho kwama Jaji Rweyemamu alitenda haki. Tena wanaomlilia wengi ni wale wenye nafasi ndogo kwenye jamii.
Huwezi kuzungumza historia ya Mahakama ya Kazi (Labour Court) bila kumtaja Jaji Rweyemamu.
Hukumuza Jaji Rweyemamu zilipendwa na kila Advocate. Wafanyakazi walimpenda Jaji Rweymam alivyoamua kesi zao.
Sina mengi ya kusema kwamba ukiona jaji amefariki na jamii nzima inalia ni wazi alipendwa jinsi alivyotoa haki.
Jaji Rweyemamu alishastaafu lakini kifo chake kimetustua utadhani bado yuko mahakamani.
Wapo watu wakifariki watu wanasherehekea.
Hili ni funzo kwawatumish wa umma. Tunamlilia Jaji Rweyemamu kwa sababu hatuitaji kuambiwa utumishi uliotukuka.
Zipo hukumu alikosea lakini ukizisoma zilikuwa ni hukumu nzito kisheria na zilichambuliwa kisomi na wasomi.
Kuna hukumu moja Jaji Rweyemamu alikubali kubadili maamuzi yake ya nyuma kitu ambacho hutokea kwa nadra sana kwa majai wetu.
Jaji Rweyemam alikubali kukosolewa. Alijali sana interest of justice yaani hakupenda mawakili wanaoendekeza PO.
Hakuna harufu ya rushwa hata ya kuhisi kwa Jaji Rweyemamu.
Pumzika kwa amani Jaji Rweyemamu, unaliliwa na wanyonge wa nchi hii kitu ambacho ni nadra sana kwa mtu wa kiwango chako.
Watumishi mlioabaki mahaamani, bungeni, serikalini na kokote jiulize.
Je tutakulilia kama tunavyomlilia Jaji Rweyemamu?
UPDATE:
Hii ni moja ya Rulings zake