ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
kwa miaka ya zamani ilizoeleka mara nyingi sana pale ambapo mtu hususani baba wa familia anapofariki ndugu wamekua wakijitokeza kudai/kupora mali za mjane/watoto, lakini mara nyingi hutokea kwa familia ambazo hazijaenda shule ama familia zinazoendeshwa kimila zaidi, cha ajabu hili nimeliona kwenye huu msiba wa ivan (x zari hubby) ambapo ndugu wa marehemu wameibuka na kudai hawamtambui zari na wala hawana uhakika wa wale watoto wake watatu kama ni wa mtoto wao Ivan, imefikia ananyanyasika na kua mtu wa kulia mwanzo mwisho hata kufikia kushindwa kuongea. hizi mila za kiafrika zinanyanyasa sana wajane...utasemaje hutambui mama wa watoto lakini unawatambua watoto??? tizama hapa mwenyewe...