Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.

Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.

WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.

Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.

Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
 
Wanabodi tumuache magufuli apumzike,katika utawala wake Ni kweli mauji yalifanyika,utekaji ulifanyika,utapeli ulifanyika,manunuzi ya kihuni ya wapinzani yalifanyika,Uhuru wa habari ulibanwa,lakini yote hayo tuliyavumiliana kwa taabu na shida.ilitulazimu kuswali,kuomba na hata kufunga ili mungu wa mbinguni atuondolee utawala wake kishenzi uliokuwepo kweli dua ilipokelewa na kujibiwa.leo Tena hangaya anataka kututudisha kule kwenye kuswali,kuomba na kufunga ili kumlilia mungu juu ya utawala usio na haki.ccm haina jipya lolote kwa nchi na wananchi.
 
Hapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, angalau musoma hospitali kanda,je vipi daraja la Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc.

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini?

The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi walioupoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM BE VIGILANT AND ACT SRTATEGICALLY ON THIS ISSUE OF LAKE ZONE. Kazi iendelee
 
Hapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, musoma hospitali kanda,daraja Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini? The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi waliyopoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM ACT SRTATEGICALLY ON THIS LAKE ZONE.
Fifty fifty
 
Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.

Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCcm kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.

WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.

Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu Ccm.

Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
Mkuu Magufuli hakuwahi kuwa mwana CCM kinda kinda.
CCM aliigeuza kuwa a power broker badala ya kuwa chama cha siasa.

Aliwa purge wale wenye misimamo kiitikadi na kuteua kasuku wa kumsifia kama pole pole.

Leo hii ukiniambia CCM inasimamia itikadi gani hutopata jibu.

Kwa siye wana CCM long time tumeona CCM Asili ikiuwawa na kugeuzwa kuwa kuwa CCM Parrotism badala ya CCM Ptriotism tuliyoizoea.
 
Hapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, angalau musoma hospitali kanda,je vipi daraja la Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini? The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi walioupoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM BE VIGILANT AND ACT SRTATEGICALLY ON THIS ISSUE OF LAKE ZONE. Kazi iendelee
Hakuna Rais mpaka sasa aliyeua ari na misimamo ya kisiasa ya CCM kama Magufuli.
Aliendeleza ubaguzi wa maeneo kikabila, hakutaka kukosolewa, upendeleo dhahiri wa mikoa ya nyumbani kwao, alitesa watu, alibambika kesi, aliwaibia wenye kipato kutumia dola(TRA), aliwabagua hata viongozi waandamizi waliomtangulia.
Hatutasema vyama vingine maana haki za binadamu zilikiukwa.
Wengine walidiriki kumwita dikteta.

Kwa kifupiuongozi wa Magufuli ulikuwa si shirikishi bali a ONE MAN SHOW..
 
Hapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, angalau musoma hospitali kanda,je vipi daraja la Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini? The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi walioupoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM BE VIGILANT AND ACT SRTATEGICALLY ON THIS ISSUE OF LAKE ZONE. Kazi iendelee
Huyu mkabila hakuna kitu alichofanya huku Mbeya
 
Back
Top Bottom