Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,754
Anayefanyiwa fujo yeye hasemi.Jikite kwenye mada. Acha fujo.
Anayefanyiwa fujo yeye hasemi.Jikite kwenye mada. Acha fujo.
Usikatae aisee, Mapacha wanawezekana kabisa- Kwanzia mwanzon wanaweza kudhamiria na kuweka embryo mbili ila mapacha wakizaliwa hawatafanana.IVF ya kupanga kupata mapacha tena wawe wa jinsia moja hiyo ni sayansi ya wapi mkuu mbona unatuingiza chaka? Huyo kapata mapacha by chance kama wanawake wengine wanavyopata.
Ngoja niwasikie wenzio wanaojua zaidiUsikatae aisee, Mapacha wanawezekana kabisa- Kwanzia mwanzon wanaweza kudhamiria na kuweka embryo mbili ila mapacha wakizaliwa hawatafanana.
Pia gender selection inawezekana - wanachukua seli moja kutoka embyro na kuangalia chromosomes xx, xy.
(Ingawa kuna nchi hawakubali kabisa wakati wa ivf uchague gender selection bila sababu nzuri ya kueleweka kwanini unachagua sex e.g magonjwa wa kurithi yanaoathiri gender moja tu.)
Kuna uwekezano mwingine: kutoa cells kuangalia chromosomes sometimes itasababisha yai lisplit na mama akapata mapacha wawili au hata watatu wanaofanana. Kama hao mapacha wetu wamachame wanafanana basi inawezekana ivf iliongeza maradufu uwezo wa nature na kufanya embryo ikajigawa. Kama hawafanani bibie aliekewa embyro mbili.
Habari wana JF
....
Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.
....
Una elimu level gani wewe? Mbona uandishi wako ni wa kitoto sana? Content ni ipi?!It wasn’t Mengi is wish , Jack alipambana kuzaa na pia alipambania ndoa akiwa na akili zake kichwani watoto ndio wangekuja kumpa chochote baadae , it wasn’t easy kwa Mzee Mengi kukubali kuzaa na Jack Ndumba za Kiswahili zilitumika sana kumpumbaza ndio akakubali kuzaa nae , ndoa bibie alivyoona anapendwa akamtumia Mzee watu wamuombe Mzee amuoe Jack hasipomuoa Jack atajiua
Una elimu level gani wewe? Mbona uandishi wako ni wa kitoto sana? Content ni ipi?!
Halafu ni dume wewe ila una ID ya kike, chefuuu!Kafilw.... huko , nimeishia vidudu haya unasemaje? sio kila content ni lazima uelewe, inakuusu nini ? case imeshaisha tunajenga Nchi , unakuja comment utopolo Leo
Hamna bhana, mimi nataka nifanye hayo matusi ya nyuma na wewe, nipe location nije nile tope.Kafilw.... huko , nimeishia vidudu haya unasemaje? sio kila content ni lazima uelewe, inakuusu nini ? case imeshaisha tunajenga Nchi , unakuja comment utopolo Leo
Mengi aliuawa na corona ila useme ilikiwa haijajulikanaHalafu ni dume wewe ila una ID ya kike, chefuuu!
Hamna bhana, mimi nataka nifanye hayo matusi ya nyuma na wewe, nipe location nije nile tope.
Umechambua kisayansi nimekuelewa.Usikatae aisee, Mapacha wanawezekana kabisa- Kwanzia mwanzon wanaweza kudhamiria na kuweka embryo mbili ila mapacha wakizaliwa hawatafanana.