Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,603
Unahitaji darasa huru ili uelewe kwa sababu unaelewa Taratibu sana.Wanawake wapi unaowazungumzia?
Wajane/Mjane na watoto wakike kwa mujibu wa sheria ya kiislamu hawana haki kama ya watoto wakiume wao hukandamizwa kwa kupewa mafungu madogo sana.
Mfano Watoto wakiume hupata mafungu mawili katika mafungu matatu na wakike hupata moja tu.