Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Wanawake wapi unaowazungumzia?
Unahitaji darasa huru ili uelewe kwa sababu unaelewa Taratibu sana.

Wajane/Mjane na watoto wakike kwa mujibu wa sheria ya kiislamu hawana haki kama ya watoto wakiume wao hukandamizwa kwa kupewa mafungu madogo sana.

Mfano Watoto wakiume hupata mafungu mawili katika mafungu matatu na wakike hupata moja tu.
 
Mwanamke wa Kiislam licha ya kuwa anarithi lakini bado jukumu lote ni la wanaume kumsitiri maisha yake yote, kwa hiyo mirathi yake ni pocket money tu, si kuwa na majukumU.

Kwenye biblia hata mtoto wa mke ambae humpendi hawezi kurithi, unaelewa hilo? Soma...

Deuteronomy 21
15 If a man has two wives, and he loves one but not the other, and both bear him sons but the firstborn is the son of the wife he does not love,
16 when he wills his property to his sons, he must not give the rights of the firstborn to the son of the wife he loves in preference to his actual firstborn, the son of the wife he does not love.
17 He must acknowledge the son of his unloved wife as the firstborn by giving him a double share of all he has. That son is the first sign of his father's strength. The right of the firstborn belongs to him.

Haki iko wapi hapo? Humpendi mke mtoto harithi!
 
Tokea ujio wa Yesu hapa duniani hakuna kitu kinaitwa Biblical law kiliwahi kuendelea kuwepo.

Nakupa mfano hapo awali Sheria za Biblia zilikuwa zikisema tusile Nguruwe, tusile wanyama wasio na kwato, tusile samaki wasio na magamba unajua Yesu alikuja kusema nini?

Mfano mwingine hapo awali Kulikuwa na Sheria ya kuwapiga mawe wazinifu hafi wafe na kuwakata mikono wezi unajua Yesu aliwaambia nini wana waIsrael?
Hakuna Sheria ya kumkandamiza mwanamke katika Ukristo ndio maana Unamuona Mwanamke anapanda madhabahuni anahubiri injili, ndio maana unamuona mwanamke ana nyadhifa kubwa Kanisani ana mamlaka.

Ndoa ya kikristo huwa ni moja tu hakuna nyingine ndio maana hatunaga sheria za mirathi Kwa wakristo mwanamke ana haki
 
Wacha porojo na sheria za kibinadam mnazotunga wenyewe, msome Yesu anasema nini...

Mathayo 5:
17“Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha. 18Kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia. 19Basi, yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, na kuwafundisha wengine wafanye hivyo, huyo atakuwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni. Lakini yule atakayezishika na kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. 20Ndio maana nawaambieni, wema wenu usipozidi ule wa waalimu wa sheria na wa Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
 
Karibu sana kwenye mjadala huujui ukristo kabisa fuatana nami ngoja kwanza nikucheke 😝😝😝😝

Jesus said "A new commandment I give unto you love one another….” John 13:34

Jesus replied, “‘You must love the LORD your God with all your heart, all your soul, and all your mind.’ This is the first and greatest commandment. A second is equally important: ‘Love your neighbor as yourself.’ The entire law and all the demands of the prophets are based on these two commandments.” Mat 22v34-40

“Until John the Baptist, the law of Moses and the messages of the prophets were your guides. But now the Good News of the Kingdom of God is preached, and everyone is eager to get in” Luk 16:16.

Hilo pigo linaitwa amba kati
 
We punguani. Ya mirathi yamekushinda utaweza hayo?

Hapo Yesu anawasuta mnaomuita Mungu, soma Kiswahili chake...

Sisi tunasema hapana Mola apasaye kuabudiwa isipokuwa Mwenyezi Mungu. Yesu nae anasema...
- 28 Na mmojawapo wa waandishi akafika,
akawasikia wakisemezana naye,
akatambua ya kuwa amewajibu vema,
akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo
ya kwanza?
29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii,
Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni
Bwana mmoja;
30 nawe mpende Bwana Mungu wako kwa
moyo wako wote, na kwa roho yako yote,
na kwa akili zako zote, na kwa nguvu
zako zote.
(Marko 12 :28-30)
- Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
(Yohana 17
FACE_WITH_COLON_THREE.png
 
Toa udini wako peleka makaburini huko
 
Karibu sana kwenye mjadala huujui ukristo kabisa fuatana nami ngoja kwanza nikucheke

Jesus said "A new commandment I give unto you love one another….” John 13:34

Jesus replied, “‘You must love the LORD your God with all your heart, all your soul, and all your mind.’ This is the first and greatest commandment. A second is equally important: ‘Love your neighbor as yourself.’ The entire law and all the demands of the prophets are based on these two commandments.” Mat 22v34-40

“Until John the Baptist, the law of Moses and the messages of the prophets were your guides. But now the Good News of the Kingdom of God is preached, and everyone is eager to get in” Luk 16:16.

Hilo pigo linaitwa amba kati
Nyie wapumbavu laleni acheni kelele!!
 
Unahitaji darasa huru ili uelewe kwa sababu unaelewa Taratibu sana.

Wajane/Mjane na watoto wakike kwa mujibu wa sheria ya kiislamu hawana haki kama ya watoto wakiume wao hukandamizwa kwa kupewa mafungu madogo sana.

Mfano Watoto wakiume hupata mafungu mawili katika mafungu matatu na wakike hupata moja tu.
Nilikuwa nakusubiri ufike hapo.Eti "nahitaji darasa huru kuelewa kwasababu naelewa taratibu".Kinyume chake wewe ndio huelewi unahitaji darasa,umekaririshwa eeh!!?Dada yangu FaizaFoxy amekuelewesha.

Mali ya mwanamke haitumiki,jukumu la kumlea mwanamke ni la mwanaume(kaka) kama hajaolewa.Mwanaume anapata fungu kubwa kwasababu ana jukumu la kulea familia yake(mke) na dada yake.Na endapo uadilifu ukifanyika hakuna tatizo lolote.Unafikiri sharia hii iliwekwa ili kujifurahisha?Jibu ni hapana ni hekima kubwa iliotumika.

UISLAMU umemtukuza mwanamke kuliko mnavyofikiria.Hata mkeo licha ya kumpa huduma muhimu kama maladhi,chakula na mavazi.Unatakiwa umlipe fungu lake unapoishi naye mbali na hiyo kodi ya meza.

Unahitaj jicho la tatu kuyajua haya."Kitabu(Qur'aan) haina shaka ndani yake na mafundisho yake(Uislamu) unaendana sahihi na maumbile ya mwanadamu."
 
Mzee soma hii https://www.memri.org/tv uujue uislamu wako na "Sharia zake kwa wanawake.

Uislamu unamkandamiza sana mwanamke haumpi haki kama anayopata mwanaume.

Kweli kwa akili zako unadiriki kusema MWANAMKE WA KIISLAMU NI TEGEMEZI MAMBO YA KARNE YA 6 UNAYALETA KARNE YA 21 KWELI?
Soma link yangu uone Maajabu ya dini yako
 
Habari wana JF

Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.

Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine

Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.

Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.

Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..

AsanteView attachment 1096851View attachment 1096852View attachment 1096853View attachment 1096854View attachment 1096855
Kweli kunguru ana akili kuliko kasuku
 
We punguani. Ya mirathi yamekushinda utaweza hayo?
Hapo Yesu anawasuta mnaomuita Mungu, soma Kiswahili chake...
Sisi tunasema hapana Mola apasaye kuabudiwa isipokuwa Mwenyezi Mungu. Yesu nae anasema...
- 28 Na mmojawapo wa waandishi akafika,
akawasikia wakisemezana naye,
akatambua ya kuwa amewajibu vema,
akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo
ya kwanza?
29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii,
Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni
Bwana mmoja;
30 nawe mpende Bwana Mungu wako kwa
moyo wako wote, na kwa roho yako yote,
na kwa akili zako zote, na kwa nguvu
zako zote.
(Marko 12 :28-30)
- Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
(Yohana 17
FACE_WITH_COLON_THREE.png
Mimi nahudhuria mahakamani ndani ya siku tano za kazi zaidi ya mara moja katika kesi mbalimbali sasa usitake kunijua sana, Tambua nazijua sheria vilivyo kuanzia za barabarani hadi za kimataifa.

Na mbona Wewe bibi huna akili kiasi hiki, hapa hatuzungumzii uungu wala apendwe yupi asipendwe yupi tunazungumzia Sheria za mirathi za kiislamu pamoja na Sheria za musa.
Bible ya kiswahili ina vimakosa kwenye baadhi ya vifungu na si vingi ni vichache tu NATAKA TUENDELEZE MJADALA WA NI WAPI MWANAMKE ANAKANDAMIZWA KATIKA UKRISTO NA NI WAPI PANATUAMBIA TUFUATE SHERIA ZA MUSA NA SIO KUJIKANYAGA.
Yesu alituletea Amri kuu nayo inaitwa Upendo ngoja nikupe nondo.
 
Mzee soma hii https://www.memri.org/tv uujue uislamu wako na "Sharia zake kwa wanawake.

Uislamu unamkandamiza sana mwanamke haumpi haki kama anayopata mwanaume.

Kweli kwa akili zako unadiriki kusema MWANAMKE WA KIISLAMU NI TEGEMEZI MAMBO YA KARNE YA 6 UNAYALETA KARNE YA 21 KWELI?
Soma link yangu uone Maajabu ya dini yako
Nisome link yako ya nini mimi?Nani kasema mwanamke wa kiislamu tegemezi!?Utanifundisha nini wewe? Tulihifafhi kitabu vifuni mwetu tangu hatujabalehe,na elimu dunia ninayo kwa hiyo najua kulinganisha vitu.

Hujui unaongelea nini naona unarukaruka tu.
Kwa taarifa yako hata kama mwanamke ana kipato kikubwa kukuzidi iwe ni dada yako au mkeo.Kumtunza na kumlinda ni jukumu lako mwanaume kwa hicho hicho kipato chako kidogo.Bila kuingilia kipato chake labda aamue kukusaidia na huu ndio uanaume(al rijal).Sio mwanaume mzima na madevu yako unasubiri mshahara wa mwanamke kuupangia bajeti.
Ndio nyinyi mnasababisha vijana (mnaita "kitonga")hawaoi hadi ajue mwanamke anafanya kazi gani au biashara gani.

Jukumu ni la mwanaume kumlea mwanamke.
 
Wacha porojo na sheria za kibinadam mnazotunga wenyewe, msome Yesu anasema nini...
Mathayo 5:
17“Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha. 18Kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia. 19Basi, yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, na kuwafundisha wengine wafanye hivyo, huyo atakuwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni. Lakini yule atakayezishika na kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. 20Ndio maana nawaambieni, wema wenu usipozidi ule wa waalimu wa sheria na wa Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Hiki ndicho kinapaswa kuwa na muendelezo na si huu upumbavu uliouleta kwa kushindwa kutetea hoja

We punguani. Ya mirathi yamekushinda utaweza hayo?

Hapo Yesu anawasuta mnaomuita Mungu, soma Kiswahili chake...

Sisi tunasema hapana Mola apasaye kuabudiwa isipokuwa Mwenyezi Mungu. Yesu nae anasema...

- 28 Na mmojawapo wa waandishi akafika,

akawasikia wakisemezana naye,

akatambua ya kuwa amewajibu vema,

akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo

ya kwanza?

29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii,

Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni

Bwana mmoja;

30 nawe mpende Bwana Mungu wako kwa

moyo wako wote, na kwa roho yako yote,

na kwa akili zako zote, na kwa nguvu

zako zote.

(Marko 12 :28-30)

- Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

(Yohana 17
👆 Hata wanao wakihusianisha hivi vitu viwili watakudharau nondo yangu hii hapa 👇

The Law of Moses said no to adultery [infidelity] but divorce was acceptable, but Jesus added no to divorce. He even said looking at a woman lustfully is sin - i.e. adultery - 7th commandment.

The Law said do not kill [6th commandment], Jesus said ‘whosoever is angry with his brother without a cause shall be in danger of the judgment’.

He ‘redefined’ sin - it is not just the act, it is the thought, the mere contemplation, an unholy desire, unfulfilled wish even without follow up action, he even declared worry as sin.

The Christian Faith is not devoid of a moral law but it sets it on a higher plane and reminds us that we cannot keep it in of ourselves. Jesus decsribes the moral law as a mirror. You can look at a mirror and find out that you have mucus on your forehead but you don not rub your face on the mirror to clean it.

You find something other than the mirror. This is where Jesus comes in. Behold the Lamb of God that takes away the sin of the world!

Before eating he ‘forgot’ to wash hands … and took the opportunity to outline the revolutionary ethos of his new covenant:

“Don’t you understand yet?” Jesus asked. “Anything you eat passes through the stomach and then goes into the sewer. But the words you speak come from the heart—that’s what defiles you. For from the heart come evil thoughts, murder, adultery, all sexual immorality, theft, lying, and slander. These are what defile you. Eating with unwashed hands will never defile you.” (Mat 15v16-20, Luke 11, Mk 17)

The Kingdom or New Covenant approach to righteousness is Inside-Out not from Outside-In method of the Old Covenant aka the Law which focuses on outward perfection through fixing external flaws/weaknesses. It starts inside: a person is made righteous on the inside first and foremost and then their outward life changes in line with the new nature ie from the Inside-Out. You are either good or evil, based on what you are inside not your external behaviour. You can have a good reputation yet you are evil inside. You are what you are on the inside, not what your social status says.

““A tree is identified by its fruit. If a tree is good, its fruit will be good. If a tree is bad, its fruit will be bad” (Mat 12:33).

Ukizipangua hizi nakuwa muislamu Shubahamit
 
Nisome link yako ya nini mimi?Nani kasema mwanamke wa kiislamu tegemezi!?Utanifundisha nini wewe? Tulihifafhi kitabu vifuni mwetu tangu hatujabalehe,na elimu dunia ninayo kwa hiyo najua kulinganisha vitu.
Hujui unaongelea nini naona unarukaruka tu.
Kwa taarifa yako hata kama mwanamke ana kipato kikubwa kukuzidi iwe ni dada yako au mkeo.Kumtunza na kumlinda ni jukumu lako mwanaume kwa hicho hicho kipato chako kidogo.Bila kuingilia kipato chake labda aamue kukusaidia na huu ndio uanaume(al rijal).Sio mwanaume mzima na madevu yako unasubiri mshahara wa mwanamke kuupangia bajeti.
Ndio nyinyi mnasababisha vijana (mnaita "kitonga")hawaoi hadi ajue mwanamke anafanya kazi gani au biashara gani.
Jukumu ni la mwanaume kumlea mwanamke.
Naona umeishiwa hoja na sasa hisia za udini wako zimekutawala.

Umeuliza Usome link yangu ya nini? Ili ujifunze sharia za kiislamu, ujifunze wapi ulitoka, ujifunze lengo lake na mambo mengi sana ambayo uliyauliza kabla.

Ukauliza tena nani kasema mwanamke wa kiislamu ni tegemezi? Mimi ndiye niliyesema na hata mahakama huwa inasema na kwa kuzingatia hilo mara nyingi hutumika sheria ya kimila.

Ukauliza tena nitakufundisha nini mimi? Jibu ni mengi upasayo kuyajua ambayo huyafahamu kuhusu ukristo na hata " Sharia za uislamu (sio kwamba mimi nayajua yote ya uislamu La hasha)

Umezungumzia umehifadhi Qur'an kwenye kifua chako tangu hujabalehe huo ni utamaduni wa dini yenu sikatai iko hivyo ni lazima mkalilishwe Qur'an ambayo iko katika lugha ya kiarabu.

Ukasema hujui naloongea unaona narukaruka tu, hapa tunazungumzia Sheria za kiislamu zinavyomkandamiza mwanamke labda ulisahau kidogo.
Mwanamke wa kiislamu hana uhuru analazimishwa kufanya kila kitu na asipofuata kwa mujibu wa sheria zakiislamu ni kifo.
Mfano mzuri Saudia mwanamke akitembea tu matembezi ya kawaida na mwanamume asiye mumewe wala nduguye ni kosa kifungo kinawahusu kwa mujibu wa sheria zenu.

Ukazungumzia la mwisho kwamba hata kama dada yangu ana kipato kunizidi jukumu la kumlinda ni langu hiyo ni kwa mujibu wa sharia zenu kwa karne hii ya 21 mwanamke ana mamlaka ana uhuru wa kufanya yafanywayo na mwanaume.

Sasa mzee uko na machaguo uendelee kuleta nondo zako ama hisia za dini yako zikutawale kama zilivyokwisha anza dharau haisaidii hapa tunajifunza

Sitashangaa mtu akiuita uislamu ni ugaidi kama wewe mwenyewe mwenye dini unashindwa kupingana nami kwa hoja
 
Wewe ndiye unalazimisha nikubaliane na mawazo yako.Kumbuka Saudia si dola ya kiislamu.Na Uarabu si Uislamu, Saudia ni dola iliyo chini ya Uingereza na ndio walioianzisha wao.Japo watu huenda kuhiji huko Makha.
Swala la mwanamke ukisoma hadithi japo zingine si sahihi(zina uzushi mwingi "BIDAAH"),mbali ya Qur'aan(mwongozo wa Uislamu) wapo baadhi ya wanawake walioshiriki vita(kuutwaa mji wa Makha) kama majasusi.Hii yote ni kuonyesha mchango wa mwanamke katika Uislamu.

Hata hivyo hizi hoja si lengo la uzi huu,uzi unahusu kifo cha tajiri Dk.Mengi,tujikite huko maana marehemu hakuwa MUISLAMU na sharia hizi za mirathi hazifungamani na familia yake.Tulikuwa tunajaribu kuwekana sawa kutokana na alichogusia tu dada yangu CC:FaizaFoxy kwa mifano katika Uislamu,mirathi kwa sharia inavyosema.

Tujikite huko labda uanzishe uzi mwingine kama wengine wanavyofanya ili kuuponda na kupotosha Uislamu,tutapeana hoja zaidi na kuelimishana.

Si unajua "mti wenye matunda hupopolewa kwa mawe"!!

ASANTE.
 
Back
Top Bottom