Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Waswahili ni watu wa pwani...ambao lugha yao ni kiswahili... haijalishi ni wa dini gani..japokuwa wengi wao ni waislamu.
 
Brooo tangu hili sakata limeanza; nafuatilia kwa makini comments zako na nimeamua kuziamini. Binadamu hatuna huruma; sijui kwa nini hatumwachi Jacque amlilie mumewe kwa amani. Kufiwa tu kunavyoumiza jamani, bado mineno ya binadamu. Huu umaskini unatufanya tuwe na roho mbaya sana jamani; me siutaki kabisa.
Dada, kwenye wale maadui watatu ambao Mwl alituambia nadhani UMASKINI ni moja wapo. Hivyo hujakosea kabisa..
 
Alafu hauhitaji kuwa na akili nyingi wala weledi kuwapandikizia uongo..

Imagine mtu anayewadanganya ni Mange, a failure on her marriage and failure in life..
Mkuu
faida na hasara za kuwa umasikini ni kwamba utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
 
Kwa hio unaoa na kuolewa..mkakae vyumba tofauti?
Nachoomanisha misuguano na matatizo kama hayo yapo kila mahali kwa wanandoa. Kwa watu wa juu na wa chini. Yakifanyika kwa watu chini, tunajitia upofu. Yakifanywa na matajiri hata kama si ya kweli inakuwa talk of the town kama ilivyo sasa.
 
Nachoomanisha misuguano na matatizo kama hayo yapo kila mahali kwa wanandoa. Kwa watu wa juu na wa chini. Yakifanyika kwa watu chini, tunajitia upofu. Yakifanywa na matajiri hata kama si ya kweli inakuwa talk of the town kama ilivyo sasa.

una kazi kama kazi yako ni kutaka kusafisha talk of the town!...pole weeeeeeeee
 
IVF ni lazima upate zaidi ya mtoto mmoja maana ni mbegu nyini zinaingizwa kwa hiyi by chance zitazokuwa hai ndio hizo zinazotoa watoto unaweza kupata hata wanne
Kupata watoto zaidi ya mmoja kwa sababu mbegu zaingizwa nyingi si kweli....kwa PCB yangu tu ile ya miaka 10 iliyopita bado sikumbuki kitu kama hicho kuwepo.
 
Huyu Jack amechafuka sana na ili kumtakasa basi ni vyema kifo cha our icon kichunguzwe ili ukweli upatikane. Kama hausiki itakuwa ni vyema sana na familia ya marehemu itakuwa na amani DSM na Machame. Toauti na hapa kila tuhuma na matendo ya Jack toka msiba unafika Ariport, Kuaga Karimjee na kule Moshi ibada ya Mazishi inaleta maswali mengi sana. Hata pale ambapo hakujitokeza hata mmachame mmoja kukaa karibu na mjane basi kuna walakini hapo. Ni kama aliachwa peke yake na huyo Shimimana wake na attention kubwa kuanzia Airport, Karimjee na kule Machame ilikuwa kwa watoto wakubwa na wadogo wa Mengi. Kuna kitu ambacho kipo na familia haijakiweka wazi public ila ndani ya closed circle ya familia kipo. Benjamini na wengine hawawezi kunyamaza yapite hivihivi. Muda utatupa majibu.

Kwa heri Reginald Abraham Mengi
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom