Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,790
- 6,765
Habari wana JF
Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.
Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine
Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.
Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.
Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..
AsanteView attachment 1096851