Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Tukiangalia historia, sidhani hiki kifo kimetokana na "kazi ya Mungu". Mungu huwapenda watu wenye mapenzi mema, sisi waTZ tukiwemo. Hivyobasi, kwa upendo wake Mungu nafikiri angependa zaidi Balali atueleze mtazamo wake kuhusiana na suala la EPA. Serikali yetu ilikuwa na nafasi ya kutekeleza hilo, ila kwa kutotujali sisi raia wake haikufanya hivyo.

Hivyobasi, mimi sikubaliani na usemi kwamba kifo hiki kimetokana na mapenzi ya Mungu. Kwa upendo wake mwenyezi Mungu, angefurahi zaidi kama sisi wapendwa wake tunapata majibu ya maswali yote ambayo ndugu Balali katutoka kabla hatujayapata.
 
kazi ipo mwenzetu unaweza kufikiri nini mungu anafikiria? au mwenzetu mungu ni rafiki wa karibu.

asilolitaka mungu kamwe halitokei
 
Asante Baba JK..

Afadhali useme leo ili watu wasilete uzushi wao hapa kuwa mara Balali kauwawa mara kajinyonga. Kwani wanajua nini kimemuua.

Jamani acheni uzushi, Balali amekufa.
Inatosha, tuendelee na shughuli za kujenga taifa.
 
Taifa halijengeki kama mafisadi wataendelea kubebwa!!!! It is a waste of time.
 
Nani anayewabeba mafisadi?

Kupiga makelele kwenye mitandao ndio kutazuia mafisadi wasibebwe?

Kwahiyo unataka niambia kwamba wewe hulioni kabisa suala hili la recycling serikalini? Na kwamba wewe hutumii mtandao sasa hivi kupiga kelele za kuwabeba mafisadi?
 
Du Tizo kweli imeku touch. Namimi natamani niweke yakwangu nashindwa lugha hiyo. Naamini Balali mzima kabadili uso na wamechoma sanamu. Ukifikiria tangu mwanzo wa mambo ya Balali hii ni kikomo. Watengeneza film I hope wataanza maana ni igizo la wajanja wachache, wala nchi yetu TZ. Tunaelekea wapi???
 
Kwahiyo unataka niambia kwamba wewe hulioni kabisa suala hili la recycling serikalini? Na kwamba wewe hutumii mtandao sasa hivi kupiga kelele za kuwabeba mafisadi?

Mheshimiwa Raisi wa Tanzania -JK ameshasema kuwa kifo cha Balali ni kazi ya mungu. Je wewe unabishana na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?
 
CCM na serikali ya mabwanyenye mafisadi washamla mshikaki huyo!!! Ndo faida ya kutmikia chama cha siasa badala ya watu. yeye alikuwa anawaidia CCM na wao wamemtumia kama napkin au CONDOM!! ukishamaliza hufui condom. Unaitupa na uchafu wake.
CCM wamemtumia balali kama CONDOM ili wasipate ukimwi wa kisiasa

Usicheze na CCM

Mkuu maneno yako Mazito na hilo ndilo lililotokea.Wameutumia Uzembe wa Marehemu Dr Balalli na kuchota pesa za EPA kwa makampuni yao ya Deep Green,Meremeta na Tangold na baadaye wanamuita FISADI,pamoja na kwamba Balalli ameondoka ukweli utakuwa wazi!!.Kifo cha Dr Balalli kimezungukwa na mambo mengi.....

Mheshimiwa Kikwete aachie ngazi ikifika 2010,aliingia kwa makeke mengi.lakini mpaka sasa hakuna cha maana alichofanya,Kila siku kuna kashfa mpya....ameshindwa kabisa mambo ya ndani ya Nchi,sasa anatafuta umaarufu nje!!.Waheshimiwa Wabunge,angalieni tena sheria na miongozo yenu,Ili mjue wazi nini kifanyike "Ikiwa Mh. Rais anapoteza uwezo wa kuongoza watu wake kabla ya kipindi chake kwisha",kwani huyu JK amefikia hali hiyo......Tusipokuwa makini tutakuja kuongozwa na mwendawazimu,na tutashindwa kumuwajibisha kwa kusubiri term yake iishe....Eeeeeeeh Mama Tanzania tumekosa nini sisi kwa Mungu?

Kufa kwa Dr.Balalli ni kuuvuruga ushahidi wa kuporwa kwa Bilioni 130 za EPA,Wanajipanga kuvuruga kabisa suala la kesi ya pesa hizo,Dr alikuwa ni shahidi #1.Mambo haya yatachochea chuki dhidi ya serikali,kwani serikali inaonekana Haijali......na Viongozi wapo hapo kwa kulinda matumbo yao....
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa Raisi wa Tanzania -JK ameshasema kuwa kifo cha Balali ni kazi ya mungu. Je wewe unabishana na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Kwahiyo Rais akikuambia utende jambo lolote hata kama linakwenda kinyume na sheria za nchi na maadili ya kiutu, unanieleza kwamba wewe utakuwa tayari kulifanya? Hata kama akikuambia umpige risasi baba yako?

Ninavyomfahamu Kikwete, He is better than that!!!!
 
Mheshimiwa Raisi wa Tanzania -JK ameshasema kuwa kifo cha Balali ni kazi ya mungu. Je wewe unabishana na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Huyo zaidi ya kubishana ya JK anabishana na Mungu...
 
Kuna watu bwana wanamatatizo kweli, kuzusha tu mambo hapa na kuanza ubishi ambao hauna msingi. Watu hawajui magonjwa yote aliyokuwa nayo Balali na sasa wameanza kupiga makelele kuwa mara ameuwawa na mara hajafa.

Hii inatisha. JK ni mcha mungu na amesema kuwa hii ni kazi ya mungu. Mwenye ushahidi tofauti aulete hapa badala ya kuanzisha siasa za kupakana matope bila sababu yoyote.
 
Mheshimiwa Raisi wa Tanzania -JK ameshasema kuwa kifo cha Balali ni kazi ya mungu. Je wewe unabishana na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?

huyu raisi wko hajui hata kama kuna mtu anaitwa balali ktk dunia ya leo.iweje akurupuke leo eti salamu za lambalamba utafikiri koni
 
Kuna watu bwana wanamatatizo kweli, kuzusha tu mambo hapa na kuanza ubishi ambao hauna msingi. Watu hawajui magonjwa yote aliyokuwa nayo Balali na sasa wameanza kupiga makelele kuwa mara ameuwawa na mara hajafa.

Hii inatisha. JK ni mcha mungu na amesema kuwa hii ni kazi ya mungu. Mwenye ushahidi tofauti aulete hapa badala ya kuanzisha siasa za kupakana matope bila sababu yoyote.

Sijaona siasa yoyote ya kupakana matope humu ndani. JF ni pahala ambapo kila mmoja anakuwa free kutoa maoni yake kulingana na mtazamo wake wa mambo kwa kutumia akili na maarifa. Kama wewe unaona kwamba ni vibaya watu ku-discuss issues kulingana na mitazamo yao basi nafikiri pahala hapa hapakufai ndugu yangu.
 
Hii ni kweli ndugu yangu lakini ukisoma yanayoandikwa humu kuhusu kifo cha Ballali, kuwa mara kuna watu walituma na serikali kwenda marekani (makachero) kumuua Ballali, na mengine mengi ya kukihusisha ccm kwenye huu msiba ni makosa makubwa.

Watu watulie, wavute pumzi na kutafakari kifo cha Ballali kwa nia nzuri tu na kisha tuendelee kujenga taifa letu bila kupakana matope bila ushahidi wowote.
 
Ndugu Masaka, nilishasema Taifa la Tanzania kwa mwendo wa sasa hivi halijengeki na halitajengeka kama hatutabadili the mind-set ya waTZ wote pamoja na ku-get rid of mafisadi. Infact, sasa hivi taifa letu limerudi nyuma. Nafikiri Tanzania was better in the 70's than it is now. Watu waliishi maisha bora miaka ya 70 zaidi ya tunavyoishi sasa. Miundombinu ilikuwa bora kuliko tunavyoendelea kuiona inavyozidi kudumaa sasa

Mimi siwezi kupoteza mda wangu kufikiria kwamba ninapopanda basi asubui la Mwembechai-Posta kuelekea kazini, kwamba nakua naelekea kulijenga taifa. Ninafahamu fika kwamba nguvu zangu zote ninazozitumia kazini katika masaa 8 zinakuwa zinapotea bure.

Lets get rid of Mafisadi first and then we can discuss about kujenga taifa.
 
Ndugu Masaka, nilishasema Taifa la Tanzania kwa mwendo wa sasa hivi halijengeki na halitajengeka kama hatutabadili the mind-set ya waTZ wote pamoja na ku-get rid of mafisadi.

Mimi siwezi kupoteza mda wangu kufikiria kwamba ninapopanda basi asubui la Mwembechai-Posta kuelekea kazini, kwamba nakua naelekea kulijenga taifa. Ninafahamu fika kwamba nguvu zangu zote ninazozitumia kazini katika masaa 8 zinakuwa zinapotea bure.

Lets get rid of Mafisadi first and then we can discuss about kujenga taifa.

Je tutaget rid off mafisadi kwa kupinga kifo cha Ballali hapa mtandaoni. Kama watu wako serious, kwa nini wasiende huko kwa ma-FBI au Interpol na kudai uchunguzi.

Maswali mengi tu hapa hayasaidii chochote ndugu yangu. Ballali amekufa na kuzikwa. Let us move na kujenga nchi yetu.
 
Back
Top Bottom